Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

Huyo jamaa atumie akili hali pekeake hapo lazima wanakula wengi laki yote hiyo kunyolea papuchu wakati Wembe miambili aseeeh
 
Huyo mke wake anafanya shughuli gani halali?
Huko Upanga ananyolewa na nani?
Kama hii habari ni ya ukweli basi mwanaume ni mwendawazimu wa kiwango kikubwa sana.
Mke wangu hawezi kuniletea habari za kiwehu kiasi hicho
 
😅😅🥰 Huyo rafiki anasingiziwa tu kwenye mkasa siyo wewe mwenyewe umechungulia brother ?¿ in Mwaisa voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…