Mwanamke ukitaka kuolewa kuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayekupenda na sio unayempenda wewe

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!!

Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa mwanamke anayependa..mazingira haya imewafanya wanawake wengu wawe single mother mtaani.

Sasa ipo hivi:ukiwa na mwanaume unayempenda maana yake wewe ndio utakuwa mtumwa kwenye mahusiano,kwa kufanya kila namna ili umridhishe huyo mwanaume..jamaa kwa mazingira haya anakuwa amerelux na atakuwa msichana anayependa na anamuhudumia vizuri.

Ukiwa na mwanaume anayekupenda maana yake yeye atafanya kila njia akufanye kama malkia kwenye maisha yake..na tafanya nafasi yake kisawa sawa kama mwanaume.Pia uwakika wa kuolewa na kutimiziwa majukumu na kupendwa kama mwanamke itafanikiwa kwa 90%

Bibli inasema mwanaume mpende mkeo na mwanamke muheshimu mumeo,maana yake chenye nguvu ndio inatakiwa kikipende kidhaifu,hata Mungu alimpenda mwanadamu ndio maana akamtoa mwanye Yesu kristo ili aje amuokoe mwanadamu.
 
Hapo vip!!

Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa mwanamke anayependa..mazingira haya imewafanya wanawake wengu wawe single mother mtaani.

Sasa ipo hivi:ukiwa na mwanaume unayempenda maana yake wewe ndio utakuwa mtumwa kwenye mahusiano,kwa kufanya kila namna ili umridhishe huyo mwanaume..jamaa kwa mazingira haya anakuwa amerelux na atakuwa msichana anayependa na anamuhudumia vizuri.

Ukiwa na mwanaume anayekupenda maana yake yeye atafanya kila njia akufanye kama malkia kwenye maisha yake..na tafanya nafasi yake kisasa kama mwanaume.Pia uwakika wa kuolewa na kutimiziwa majukumu na kupendwa kama mwanamke itafanikiwa kwa 90%

Bibli inasema mwanaume mpende mkeo na mwanamke muheshimu mumeo,maana yake chenye nguvu ndio inatakiwa kikipende kidhaifu,hata Mungu alipenda mwanadamu ndio maana akamtoa mwanye Yesu kristo ili aje amuokoe mwanadamu.
Hapa ndipo nilipokosea mkuu dah!
 
Sasa hapa kuna shida moja, wanaume wanaambiwa the same so nani atamuoa mwenzie?

Pande zote zijihami?

It not fair, oa or olewa na mtu ambaye mmeridhiana kutoka moyoni, yule unaona madhaifu yake nawyaweza

Most of all Mungu akuonhoze , else matukioyatakuhusu
 
Uwongo huo,
Siku zote watu wanahitaji kupata furaha,
Na huwezi kupata furaha Kwa mtu usiyempenda..

Mpnz usiyempenda hata akituma SMS unaona kama uchafu tu ,
iweje kukamkabidhi moyo na mwili wako?
We unaonekana umeshaharibu maisha yako,na ni single mother tena uliojikatia tamaa.Sms kama hizi nilitegemea kwa type ya watu kama wewe ila wenzako wanao enjoy ndoa ni wale tu waliolewa na wanaume wanaowapenda wao kama wake.
Hapo unavyobishana na mimi kunawanaopendwa sasa hivi wanaopewa zawadi za magari,fedha,nyumba n.k
 
Game imebaki mwendo wa kuviziana tu 😂.
We fanya unachojisikia bwana. Kikubwa limit matarajio yako usiwe disapointex. Pia usiwekeze mahala ambapo una was was napo.
 
We unaonekana umeshaharibu maisha yako,na ni single mother tena uliojikatia tamaa.Sms kama hizi nilitegemea kwa type ya watu kama wewe ila wenzako wanao enjoy ndoa ni wale tu waliolewa na wanaume wanaowapenda wao kama wake.
Hapo unavyobishana na mimi kunawanaopendwa sasa hivi wanaopewa zawadi za magari,fedha,nyumba n.k
Wewe umeleta hoja kwamba mwanamke aolewe na mwanaume ambaye hana mapenzi nae,

Hivi unajuwa madhara ya kuishi na mtu ambaye humpendi?
Ndoa inatakiwa watu wapendane na sio mapenzi ya upande mmoja ni utumwa.

Inaonekana bado huna experience na mambo ya mapnz.
 
Experience gani naitaji zaidi kuona masingle mothers wamejaa mtaani mpaka kero...Fact na truth haitaji experience.
Anayeoa ndio anatakiwa apende..Hakuna love ya 50/50.

Na wanaume hawaoi masingle mother,wanasema ukioa mwanamke mwenye mtoto nisawa na kuanza match 1 bila..au uonyeshe kaburi la baba mzazi wa mtoto...

kama wewe unaona sahihi nenda na usingle mother wako kampenda mwanaume alafu fanya akuoe..ni ngumu ila yeye akikupenda anakuoa
 
Experience gani naitaji zaidi kuona masingle mothers wamejaa mtaani mpaka kero...Fact na truth haitaji experience.
Anayeoa ndio anatakiwa apende..Hakuna love ya 50/50.
Single mother ni matokea ya wanawake kuchaguwa zaidi iphone na starehe .
Mwanamke akiona hela ni kama fisi kaona mzoga.
Single mother wengi wanabwaga sababu ya maisha ya tamaa na sio vinginevyo.
 
Back
Top Bottom