Mwanamke uliyeolewa, usifanye makosa haya

Mfumo dume.
 
Umeandika mambo mengi sana mwisho umerudi kwenye point yako ya msingi ya kupambania usawa kati yako wewe mwanamke na mwanaume.

Tatizo umeninukuu vibaya mimi sikusema unawachukia wanaume nilichokushauri jitenge kwanza na mambo ya mahusiano kwa sababu unachokitaka wewe hakiwezekani na hakitakuja kiwezekane,na mkiendelea kulazimisha mtazidi kuumia.
 
Wewe demu kimya au unataka dyudyu
 
  • Mwanaume anaoa mke zaidi ya mmoja hata 6 akiamua.
  • Mwanamke anaweza kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja?
  • Hamruhusiwi kwasababu nyie ni wapokeaji yaani wakuhudumiwa tu (nikuhudumie halafu u-cheat kisa mimi nina cheat, utaenda kwenu) ndiyo maana wanasema usishindane na mwanaume (boss).
  • Dunia nzima, mfumo unaotumika ni mfumo dume hakuna mfumo jike
 
Kula yako, vaa yako, matibabu yako, n.k yote yanategemea mwanaume.
Hela ya mwanaume ndiyo inatumika hapo nyumbani 100% ya kwako unafanyia mambo yako tu hata kununua chumvi ya 300 ya kupikia mboga ambayo wewe unakula unaona kama unamnufaisha sana mwanaume.
Simaniishi kuwa na nyie umsaidie mwanaume hapana ila mpo kwenye kundi la special group.
Mfano. Unaweza kumtoa out mwanamke anayefanya kazi benk ila ukapungikiwa 5,000 tu kwenye bill na mwanamke anajua ila utashangaa mwanamke hajiongezi itabidi umpigie mshikaji akukopeshe hela.
Kwahiyo msishindane na mwanaume, kama jamaa yako anacheat na wewe ukacheat atakutimua hata mimi nakutimua tu hata km ukigundua mimi na cheat. Wanaume wote ndiyo tupo hivyo
 
Umeandika mambo mengi sana tatizo umeninukuu vibaya mimi sikusema unawachukia wanaume nilichokushauri jitenge kwanza na mambo ya mahusiano kwa sababu unachokitaka wewe hakiwezekani na hakitakuja kiwezekane.

Na mkiendelea kulazimisha mtazidi kuumia.
Wewe unajuaje kama nina mahusiano tuanzie hapo kwanza, suala siyo mimi kutaka au kutokutaka suala ni wanaume waache kujifariji wakubaliane na uhalisia wa kwenye dunia ya sasa, hii itapunguza malalamiko yao maana nadhani unajionea hali halisi siku hizi ni jinsia gani inaongoza kulalamika kuhusu mahusiano na ndoa
 
Oohh kwahiyo kama mwanamke anamhudumia mwanaume anaruhusiwa kucheat ila huyo mwanaume haruhusiwi siyo, yes kuna jamii zinaruhusu wanawake kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja, by the way unafahamu population ratio ya dunia kati ya wanaume na wanawake
 
Nawe nakuuliza kwahiyo katika scenario ambayo mwanamke anamhudumia mwanaume basi mwanamke anaruhusiwa kucheat ila mwanaume haruhusiwi, sasa kama ninyi mnaona kuhudumia wanawake ni jambo la kulalamika kwanini mnataka wanawake nao wasilalamike mnapocheat, ni kama vile mnalichukia hilo jukumu la kuhudumia wanawake ila mnalifanya basi tu na ndio maana mnaamua kulipiza kwa kuwanyanyasa kihisia siyo
 
Wanaume wamekufanya nini dada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…