music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Na midomo piaUwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa.
Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu.
Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa.
Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5.
Pia wanasema kuna njia za asili.
Ewe mwanamke hata ukiwa mrembo namna gani ila ukinuka kikwapa thamani yako yote inaisha.
Wanawake mnaonuka vikwapa ni wanawake wachafu.
Hata mwanaume haifai kabisa ni uchafu....but kwa mwanamke ndio sanaIla wanaume ni poa tu kunuka kikwapa au vipi
Ni kweli kikwapa hakifai kwa wote. Kunuka kwapa ni uchafu wala hakuna lugha tofauti.Sio mwanamke tu, harufu ya kikwapa haipendezi kwa jinsia zote, binafsi mwanaume mwenye kikwapa kama beberu simpendi
Jasho la asili unaweza kulizuia kwa deodorant.Kuna watu wana jasho la asiri sijui wanaita shombo.. Mwisho wa siku haifai uchafu wa mwili iwe kwa Ke au Me
Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,Jasho la asili unaweza kulizuia kwa deodorant.
Hakuna jambo baya kama kunuka kwapa kikwapa kinakutenga na jumuiya ya watu smart na wanaojielewa.
View attachment 2366422
Basi usitumie fake products ingia gharama ununue vitu og usinuke kikwapa mkuu.Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
Sijui hatuelewani wapi, kuna watu wana aleji na hivyo vitu, iwe og au fake. Jambo zuri ni usafi kwa watu wote, kujali afya pia kwa yale ambayo yanaweza saidia usiwe kelo kwa wenzakoBasi usitumie fake products ingia gharama ununue vitu og usinuke kikwapa mkuu.
Kama una kikwapa cha asili kuoga pekee haitoshi utanuka tu...
Kwanini unaita matakataka? Kwakuwa wewe una allergy navyo basi unaita matakataka?Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
Nchi huru hii,Kwanini unaita matakataka? Kwakuwa wewe una allergy navyo basi unaita matakataka?
Usipotumia deodorants au body spray kuna wakati harufu ya jasho itatokeza tu. Kwa hiyo huo usafi wa mazingira sijui unazungumzia upi. Nyoa kwapa ogea sabuni nzuri pitisha roll on uzuie halufu ya kibinadamu binadamu kiasili ananuka ila tunatofautiana kiwango tu. Kuna deodorants hazina harufu kabisa kazi yake ni kukata jasho only.Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
Unajua kwanini watu wana jasho harufu na wengine hawana? Kwanini usafi ukiwapo katika mwili harufu hupungua au kuisha kabisa na usipokuwepo harufu inakuwa kali? Kutumia hizo deodorant sawa haina shida ila sio solution ya kudumu kuna watu vijijini hawana hela ya kununua deodorant hizo mnazotaja wala hazipoUsipotumia deodorants au body spray kuna wakati harufu ya jasho itatokeza tu. Kwa hiyo huo usafi wa mazingira sijui unazungumzia upi. Nyoa kwapa ogea sabuni nzuri pitisha roll on uzuie halufu ya kibinadamu binadamu kiasili ananuka ila tunatofautiana kiwango tu. Kuna deodorants hazina harufu kabisa kazi yake ni kukata jasho only.