Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

Mwanamke unakubalije kunuka kikwapa? Kikwapa ni alama ya uchafu

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Huwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa. Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu.

Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa. Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5. Pia wanasema kuna njia za asili.

Ewe mwanamke hata ukiwa mrembo namna gani ila ukinuka kikwapa thamani yako yote inaisha.

Wanawake mnaonuka vikwapa ni wanawake wachafu.
 
Uwa nashangaa sana mwanamke anaenuka kikwapa.

Kwa kifupi kikwapa ni uchafu na mwanamke anaenuka kikwapa ni mchafu.

Kuna njia nyingi za kuzuia harufu ya kwapa.

Kupaka deodorant ni njia easy kabisa ya kuzia jasho baya la kwapa. Kuna deodorant mpaka za elfu 5.

Pia wanasema kuna njia za asili.

Ewe mwanamke hata ukiwa mrembo namna gani ila ukinuka kikwapa thamani yako yote inaisha.

Wanawake mnaonuka vikwapa ni wanawake wachafu.
Na midomo pia
 
Mimi sipendi harufu ya kikwapa lakn pia sipendi mwanamke apake deodorant yaani napenda kale ka harufu ka asili
Ukute mdada ni msafi ananyoa zile nywele za kwapa vizuri halafu anaoga vizuri hata asipopaka deodorant utaenjoy sana maana wanakuwaga na ka harufu flani natural ka kike kike kanaamsha mizuka hatar!
 
Sio mwanamke tu, harufu ya kikwapa haipendezi kwa jinsia zote, binafsi mwanaume mwenye kikwapa kama beberu simpendi
Ni kweli kikwapa hakifai kwa wote. Kunuka kwapa ni uchafu wala hakuna lugha tofauti.
 
Kuna watu wana jasho la asiri sijui wanaita shombo.. Mwisho wa siku haifai uchafu wa mwili iwe kwa Ke au Me
Jasho la asili unaweza kulizuia kwa deodorant.
Hakuna jambo baya kama kunuka kwapa kikwapa kinakutenga na jumuiya ya watu smart na wanaojielewa.
20220924_120838.jpg
 
Jasho la asili unaweza kulizuia kwa deodorant.
Hakuna jambo baya kama kunuka kwapa kikwapa kinakutenga na jumuiya ya watu smart na wanaojielewa.
View attachment 2366422
Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
 
Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
Basi usitumie fake products ingia gharama ununue vitu og usinuke kikwapa mkuu.

Kama una kikwapa cha asili kuoga pekee haitoshi utanuka tu...
 
Basi usitumie fake products ingia gharama ununue vitu og usinuke kikwapa mkuu.

Kama una kikwapa cha asili kuoga pekee haitoshi utanuka tu...
Sijui hatuelewani wapi, kuna watu wana aleji na hivyo vitu, iwe og au fake. Jambo zuri ni usafi kwa watu wote, kujali afya pia kwa yale ambayo yanaweza saidia usiwe kelo kwa wenzako
 
Sio wote wanatumia hayo matakataka, wengine wana aleji nayo, hata harufu mtu anapata mafua na kichwa. Isue ni usafi wa mazingira ambayo yana hewa ya kutosha,
Usipotumia deodorants au body spray kuna wakati harufu ya jasho itatokeza tu. Kwa hiyo huo usafi wa mazingira sijui unazungumzia upi. Nyoa kwapa ogea sabuni nzuri pitisha roll on uzuie halufu ya kibinadamu binadamu kiasili ananuka ila tunatofautiana kiwango tu. Kuna deodorants hazina harufu kabisa kazi yake ni kukata jasho only.
 
Unajua kwanini watu wana jasho harufu na wengine hawana? Kwanini usafi ukiwapo katika mwili harufu hupungua au kuisha kabisa na usipokuwepo harufu inakuwa kali? Kutumia hizo deodorant sawa haina shida ila sio solution ya kudumu kuna watu vijijini hawana hela ya kununua deodorant hizo mnazotaja wala hazipo
 
Back
Top Bottom