Russia is not your enemy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2023
- 373
- 625
Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa.
STORI YA KWELI.
Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao huko.
Kwangu more nilikiwa naingia kiwanja. Mdada akaniomba tuonhee kama ninamuda. Nikasema sawa. Akaniomba nauli, nikampa, akaomba na mamba stori ilianzia hapo