IamBrianLeeSnr
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 2,010
- 4,179
Zipo shida zenye kueleweka lkn sio hizo mlizozizoea kuanza nazo pindi tu mahusiano yanapoanza...😂😂😂huwezi kujua labda anakupima uwezo wako kiuchumi😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo shida zenye kueleweka lkn sio hizo mlizozizoea kuanza nazo pindi tu mahusiano yanapoanza...😂😂😂huwezi kujua labda anakupima uwezo wako kiuchumi😊
anha kumbe,,,,ngoja nijaribu kulegeza kamba labda nina fungu nimeandaliwa najicheleweshea bure 😅😂Sio rahis . Mwanaume akikugonga tu lazima akupe hela hata kabla ya kutoka location.
kama zipi hizo,,,kusuka au Kwani unakua huoni kama nywele zake zimefumuka😂😂😂Zipo shida zenye kueleweka lkn sio hizo mlizozizoea kuanza nazo pindi tu mahusiano yanapoanza...😂😂😂
Moja wapo hiyo kwani hapo mwanzo ulikua ukitoa wapi hiyo hela ya kusuka😂😂😂kama zipi hizo,,,kusuka au Kwani unakua huoni kama nywele zake zimefumuka😂😂😂
Huoni kakimbia😂😂😂we usiniambie 😳😳
Hao ni bora aje achukue geto tu mmalizane hawaishiwagi shida hao malaya mwanamke aliyekuelew sera zako hawezi kukutangazia shida kuna wanaume maboya tu hawajiongezi kazi kutuma tuma pesaMwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa
Wewe dada ila umeweka picha ya mwanaume...😂😂😂umekurupuka boss
acheni ubahiri shauri yenu 😂Moja wapo hiyo kwani hapo mwanzo ulikua ukitoa wapi hiyo hela ya kusuka😂😂😂
sidhani kama ni kweli,,,,anyway it is non of my businesses 😊🙌Huoni kakimbia😂😂😂
mapenzi ya wiki niliambiwa nimjengee nyumba alafu nimpeleke home then anizalie 😅😅😅 kwani aliniona tenaaaZipo shida zenye kueleweka lkn sio hizo mlizozizoea kuanza nazo pindi tu mahusiano yanapoanza...😂😂😂
Ebu google basi hata hilo jina uone kama nila kike, usikurupuke mkuuHuoni kakimbia😂😂😂
Wewe Shangazi, asiejua nani 😅Wewe dada ila umeweka picha ya mwanaume...😂😂😂
Miezi ile ile ambayo utakuwa tayari kutoa mzigohivi mda sahihi wa kuombana hela ni adi miezi mingapi vile 🤔
ahahahha😂😂😂😂😂mapenzi ya wiki niliambiwa nimjengee nyumba alafu nimpeleke home then anizalie 😅😅😅 kwani aliniona tenaaa
Anatakiwa aombe lini Sasa.... Ila aendelee kujikausha mpaka lini??Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa
nyie mbona mnatanguliza mzigo mbele na sio mapenzi ya dhati😂Miezi ile ile ambayo utakuwa tayari kutoa mzigo
ILa kwakwel siku hiz hali ni mbaya sanaanha kumbe,,,,ngoja nijaribu kulegeza kamba labda nina fungu nimeandaliwa najicheleweshea bure 😅😂