Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
umeongea ukweli ciccy😊😂😂😂Wakati mwingine huwa tunaomba hela Tena nyingii tuu ili ushindwe na uondoke uache usumbufu kwa sababu pia hata kukupenda mwanamke hajakupenda.... Yaani wewe kumtongoza tuu anakuona mzigo fulani hivi.... Sasa ndio mwanamke anajipanga kabisa.... Naomba hela ya kupaua, au kuongeza mtaji wa biashara, kumalizia madirisha ya nyumba yake ahamie au ... Something bigggg ambacho definitely utaondoka.