Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

basi tunatofautiana mimi mtu akiwa ananipanipa hela ndo najua ananipenda [emoji23][emoji23]
Una damu ya udangaji ndio maana, unahusishaje pesa na mahusiano, yaani wewe kwa mwanaume umefata kuchukua pesa?

Mimi uwe unapenda kuniomba omba hela siku nakupa namba ya mshikaji wangu na yeye anataka huduma ukampe akupe hela.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Acha kujidanganya hamna mwanamke hapendi hela,huna hela hamu zinatoka wapi?
 
Watu Kama mnapendana hili ni swala dogo.

Mwanamme kama anakupenda atakupa tuu hela kama anayo.
Na mwanamke kama anakupenda atakupa tuu mbususu wakati ukifika.(kamwe hawezi kutanguliza pesa mbele).

Ugumu unakuja pale mwanaume anataka ku -hit and run.
Na mwanamke anataka akunyonye pesa.
Hapa lazima mviziane.
 
Una damu ya udangaji ndio maana, unahusishaje pesa na mahusiano, yaani wewe kwa mwanaume umefata kuchukua pesa?

Mimi uwe unapenda kuniomba omba hela siku nakupa namba ya mshikaji wangu na yeye anataka huduma ukampe akupe hela.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
umeenda mbali sana my brother,,, anyway ndo mtazamo wako lakini sikupingi😎
 
sasa haitakiwi iwe hivyo,,halafu mbona kitu kidogo tu hicho usipompa atakufikiria vibaya kwamba umemuona mdangaji wakati mwenzio ana shida kweli
Wewe unazani shida unazo wewe pekee yako, yeye pia shida anazo na wazazi wake pia.

So kabla haujaomba pesa na mtu hauishi nae fanya kama unajaribu kumjua vizuri hivi ili uweze kumsapoti katika harakati zake za utafutaji then uone kama yeye atakutupa.

Back
Top Bottom