Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Kama sio kitu Cha maana mbona kutwa kulalamika nyuzi km zote leteni nyuzi za kilimo Sasa
Sasa mbona Maisha yenu mgumu Kama uchi unaweza kukufanya pesa ukitaka pesa work hard yaani uchi au Sehemu ya mikojo chafu unaifananisha na Pesa inayolindwa bank na Askari mwenye bunduki na risasi , Mimi sioni mnachopata mnatombwa tu sasa ukipewa lakimoja na ukatombwa tombwa hovyo unapata faida gani zaidi ya kuchoka ?
 
Watu Kama mnapendana hili ni swala dogo.

Mwanamme kama anakupenda atakupa tuu hela kama anayo.
Na mwanamke kama anakupenda atakupa tuu mbususu wakati ukifika.(kamwe hawezi kutanguliza pesa mbele).

Ugumu unakuja pale mwanaume anataka ku -hit and run.
Na mwanamke anataka akunyonye pesa.
Hapa lazima mviziane.
Yan umeongea kitu chamaana
Mm mwenyew naomba Hela Jamani japo sio sana na napewa Tena na zaidi na maranyingi huwa naulizwa vitu vigumu kuvitatua watu wanasolve bila kuombwa Yan shwaa 😂😂

Yani unaitunza mbususu Hadi inataka kupata kutu hebu mtuspoil muone mambo sio kualalmika lalamika tu
 
Wewe unazani shida unazo wewe pekee yako, yeye pia shida anazo na wazazi wake pia.

So kabla haujaomba pesa na mtu hauishi nae fanya kama unajaribu kumjua vizuri hivi ili uweze kumsapoti katika harakati zake za utafutaji then uone kama yeye atakutupa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
mbona hakuna tatizo,,kama huna mwambie sina mbona sisi wanawake ni waelewa sana na atajua afanye namna nyingine apate...tatizo mnawaza kutapeliwa tu mda wote
 
Sijui kwakweli ninachojua mwanaume awajibike Kwa mwanamke wake
Kwani mnaombwaga sh ngapi mnazolalamika hivo??
Aaaah wewe wanawake wanaomba hela hovyo sana miaka hii hata mama zetu ukiwaambia wanashangaa. Yaani mwanamke akijua una milioni kibindoni atataka 90% ya hiyo hela atumie kwa matumizi yake na hiyo 10% iliyosalia mtumie nyote.

Hii si sawa. Mimi sipendi mwanamke mfujaji. Jifunze kutafuta kwa kushirikiana na mwanaume wako. Fungueni biashara shiriki hiyo biashara then uone uchungu wa kutumia pesa king'ombe ng'ombe.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona Maisha yenu mgumu Kama uchi unaweza kukufanya pesa ukitaka pesa work hard yaani uchi au Sehemu ya mikojo chafu unaifananisha na Pesa inayolindwa bank na Askari mwenye bunduki na risasi , Mimi sioni mnachopata mnatombwa tu sasa ukipewa lakimoja na ukatombwa tombwa hovyo unapata faida gani zaidi ya kuchoka ?
Una hasira sana mm sio level hizo za kufuniliwa kisa laki ninamaisha magumu ndio ila ninafanya kazi Kwa bidii sana na mwanaume wangu sio lialia ananispoil hasa hatujaja kuchambana hapa tunazungumza tu
 
Aaaah wewe wanawake wanaomba hela hovyo sana miaka hii hata mama zetu ukiwaambia wanashangaa. Yaani mwanamke akijua una milioni kibindoni atataka 90% ya hiyo hela atumie kwa matumizi yake na hiyo 10% iliyosalia mtumie nyote.

Hii si sawa. Mimi sipendi mwanamke mfujaji. Jifunze kutafuta kwa kushirikiana na mwanaume wako. Fungueni biashara shiriki hiyo biashara then uone uchungu wa kutumia pesa king'ombe ng'ombe.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Mwambie ukweli pia solve mambo ya msingi sio kutoa toa Hela kijinga mwambie malengo yaliyopo hataki achana nae sio lazima mnatongoza slay queen mnategemea watazwaza kufuga kuku zaidi ya kubadilisha wigs mvune mlichopanda
 
hahah😂😂😂,,vipi lakini wewe swala la kuombwa hela na mpenzi wako unalitazamaje 😂😂
It depend;
HApa tunaongelea timing, ile tu mnaanza kuwa na ukaribu ndani ya siku moja hadi wiki....hapa jitahidini kufa na shida zenu, sio muda sahihi kufanya hivyo.

But...but Nimewahi kumsaidia day one sababu ilikuwa ni shida yenye mashiko...haikuwa tatizo kwangu...

Mwanzoni mwa uhusiano tafadhali usilete drama za:
Kodi
Nywele
Gas na upuuzi kama huu...huwa tunashtuka kuwa hakuna penzi bali ni kugeuzwa mradi.

Leejay49 sio kila mwanaume ni mpenda ngono na kila aliye mrembo...
Mtu kama mimi ni muumini wa mapenzi ya kweli.
Ukiniletea drama...hapa sio mahala pake kabisa...huyu ni mimi
 
Una hasira sana mm sio level hizo za kufuniliwa kisa laki ninamaisha magumu ndio ila ninafanya kazi Kwa bidii sana na mwanaume wangu sio lialia ananispoil hasa hatujaja kuchambana hapa tunazungumza tu
Kumbe una kidume muda wote huu ulikuwa unatuenjoy kuwa upo single🤣🤣🤣🤣🤣 wanawake nimewanyooshea mikono
 
Back
Top Bottom