Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Kuna shida halafu kuna tamaa. Sasa kwa akili ya mtu asiyejitambua kama most of you,

Sio unakuja kunifuja mapato yangu hafifu unanirudisha nyuma nguruwe wewe .

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
kumbe unajua kutofautisha kati ya shida na tamaa, umetumia nguvu kubwa sana kubwabwaja pumba huko juu ukidhani am such kind of girls unaokutana nao...by the way hilo tusi ulilenga kwa hao watu wako pia nahisi,, cause I may not be among those girls or women you met and you don't know even my life status na hujui nafananaje so try to hold your temper my big brother...Jf for enjoyment na kujifunza pia😜😉
 
Kama unanisema vile😂😂
Niliwahi kukutana na hivyo..
Within no time kila wiki nguo mpya..
Shida kibao..
Hapo hata hujamtongoza jst mmekuwa na ukaribu tu
Usikute naishi jirani na mtaani kwenu
Kiukweli Hela inauma sana asikwambie mtu ukitaka kujua uwe umejaribu kutfuta pesayako mwenyew ndo utajionea kutumia laki ovyo unaona anasa mm Nina notebook kabisa naandika 😂😂
 
hahaahha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], hao wanakua wanazingua kwakweli..lakini kwenye upendo hivyo vyote sio kitu kama ni ndani ya uwezo wako[emoji4]
Kuna mambo kwa mwanamke kuweka kipaumbele anapoingia mahusiano mapya ambayo yatampa. Thamani kubwa mbele ya mwanaume na mwanaume atakuwa comfortable kuspend kwake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Naam mimi ni mtu mzima, kuna viujinga nimevivuka.
Ukiniletea drama naelewa na shida genuine pia naelewa.

Sina tatizo kumsaidia mtu ikiwa muda huo zipo.
I hate dramaz.....nikihisi kinds of drama sitajali uzuri wako...ninakufuta papo hapo.
But ikiwa umenyooka sina tatizo kukusapo regardless tumeonana leo au jana
I do like such kind of men😉😍
 
kumbe unajua kutofautisha kati ya shida na tamaa, umetumia nguvu kubwa sana kubwabwaja pumba huko juu ukidhani am such kind of girls unaokutana nao...by the way hilo tusi ulilenga kwa hao watu wako pia nahisi,, cause I may not be among those girls or women you met and you don't know even my life status na hujui nafananaje so try hold your temper my big brother...Jf for enjoyment na kujifunza pia😜😉
Hivi kwa nini kuna tabia hapa jf watu kusisitiza jmbo wanatumia english?? Why is that? 🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji119]
Mambo yamebadilika sana vijana mmekuwa wa ovyo kujisifu umalaya kutongoza Ovyo kudate na wanawake wa Kila namna ndipo hapo mabint nao hawawazingatii wanawapiga vizinga vya kijinga Ili either mpate penz Kwa gharama au lah muondoke
Huu ni uongo bwana. Wewe unawachanganya wanaume decent na wahuni?!

Unaona kabisa kijana muhuni unaruka nae halafu anakupiga tukio unasema wanaume this that huyo sio mwanaume wa kaliba nzuri.

Ni kama sisi wanawake wapo hawa wadangaji na kuna wale decent. Sasa shida ya sasa hata wale decent nao saa hii wameingia tamaa wanaona wadangaji sijui wanafaidi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ilo haliepukiki sabbu mapenz ndo yanaamua tunallamika sabbu inatuuma kiukweli 😂😂😂
Basi na sie mjue inatuuma kama vile inavyowauma nyie pale wanaume wanatomber na kusepa. Sie hela kuipata tunapitua mengi kiupata
 
My point ni kuwa.
Mimi kama mpenzi wako ni jukumu langu kukusapoti.
Lakini tusikomoane
Kabisa na sisi tuwe tunaomba Kwa kiasi isizid ni kero lakini hii ni Kwa wanaume sio Hawa wavulanaa lialia wao waombww tu hata vocha za 500 poa tu😂😂
 
Back
Top Bottom