Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Basi na sie mjue inatuuma kama vile inavyowauma nyie pale wanaume wanatomber na kusepa. Sie hela kuipata tunapitua mengi kiupata
Mimi mbona sijakataa kabisa lakini mwanaume lazima awajibike ila sio Kwa mambo yabkijinga ilo ni lazima hutaki kuwa mwanamke uhudumiwe 😂😂
 
Kabisa na sisi tuwe tunaomba Kwa kiasi isizid ni kero lakini hii ni Kwa wanaume sio Hawa wavulanaa lialia wao waombww tu hata vocha za 500 poa tu😂😂
That is too much, vocha??
 
Inaumaje 20K Kwa mtu naempenda na always ananisupport nitakuwa sinaakili backup zimetengenezwa na nyinyi
Aaah we acha usanii. Mwanamke ukimpa hela ukija sikia kakupa sijui iwaje. Yaani hapa unaongea tu kufurahisha jukwaa ila hakuna kitu umemaanisha.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
huwa sipendagi kujibu mashambulizi harshly that's why nimetumia kingereza kupunguza ukali wa maneno,,hope amenielewa vizuri
Poa tulia mrembo hapa jf usichukulie mmbo serious sana. Ni kujadili mambo na kutambua kila mtu na mtazamo wake
 
Tafuta hela usisubiri mpaka uombwe hela,
Tafuta na wewe za kwako ili usiwe unasumbua watoto wa watu kwa shida ambazo baba yako, kaka zako, wajomba, baba wadogo na wakubwa kwapamoja wameshindwa zitatua.

Kama wewe ni mwanamke unayejitambua anza kwanza kupelekea shida zako familia yako ili usiwadhalilishe. Kama unashida ya 50,000 mwambie baba akupe 20,000 kaka akupe 10,000 mpigie bamdogo akupe 10,000 mjomba akupe 5000 na bamkubwa akupe 5000 the uone kama utakuwa na haja ya kuomba watoto wa watu huku nje.

Ila kama hilo unajua haliwezekani kwenu then why sasa unasumbua watoto wa watu na kuwalaumu kuwa wanaroho mbaya au wabinafsi kwa shida ambayo wewe ukoo wako wote hawana uwezo wa kukutatulia.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uongo bwana. Wewe unawachanganya wanaume decent na wahuni?!

Unaona kabisa kijana muhuni unaruka nae halafu anakupiga tukio unasema wanaume this that huyo sio mwanaume wa kaliba nzuri.

Ni kama sisi wanawake wapo hawa wadangaji na kuna wale decent. Sasa shida ya sasa hata wale decent nao saa hii wameingia tamaa wanaona wadangaji sijui wanafaidi.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Sio wanafaidi tumechoka utumwa aisee mm binafsi siwez Tena mvumilia mtu kijinga Yani mwanaume anihudumie na Huwa nasema wazi atimize majukumu yake japo sio too much sabbu najitafutia pia na huwa anasolve mamboyangu ya maana sio wigs au kucha

Unamvumilia mtu weee mwisho wa siku ankuona mpumbavu anakuletea ujinga Kuna wanaume akili hawana aisee Hela Tunaomba na mtoe kiroho safi
 
Tafuta na wewe za kwako ili usiwe unasumbua watoto wa watu kwa shida ambazo baba yako, kaka zako, wajomba, baba wadogo na wakubwa kwapamoja wameshindwa zitatua.

Kama wewe ni mwanamke unayejitambua anza kwanza kupelekea shida zako familia yako ili usiwadhalilishe. Kama unashida ya 50,000 mwambie baba akupe 20,000 kaka akupe 10,000 mpigie bamdogo akupe 10,000 mjomba akupe 5000 na bamkubwa akupe 5000 the uone kama utakuwa na haja ya kuomba watoto wa watu huku nje.

Ila kama hilo unajua haliwezekani kwenu then why sasa unasumbua watoto wa watu na kuwalaumu kuwa wanaroho mbaya au wabinafsi kwa shida ambayo wewe ukoo wako wote hawana uwezo wa kukutatulia.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂
 
hivi mda sahihi wa kuombana hela ni adi miezi mingapi vile 🤔
hivi mda sahihi wa kuombana hela ni adi miezi mingapi vile 🤔
Haitakiwi kuomba hela. Inatakiwa kuomba ushauri, kampani n.k. Hela ni only where necessary, ile kubinaadam na kwa kuwa anakua nacho.
Kama kutakua na kutegemea hela kutoka upande mmoja, itabidi kuyajadili upya mahusiano kutoka mahusiano ya kimwili kuwa mahusiano ya biashara ya kimwili
 
Back
Top Bottom