Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Haitakiwi kuomba hela. Inatakiwa kuomba ushauri, kampani n.k. Hela ni only where necessary.
Kama kutakua na kutegemea hela kutoka upande mmoja, itabidi kuyajadili upya mahusiano kutoka mahusiano ya kimwili kuwa mahusiano ya biashara ya kimwili
Kweli na ukute mwanaume hajawahi hata kukuuliza unaishu gani nae akushauri sms ya kwanza ya pili njoo ghetto lazima mtu aombe Hela 😂
 
that's it,, thanks for the answer 🤩
 
Inawezekana pia lakini Sina hakika sana kama ni anakuwa muuzaji kwakweli
Kama unajua sheria au kanuni ya biashara lazima kuwe na offer mezani.

Kitendo cha mwanamke kuweka masharti kuwa ili upate kunivua nguo na kufanya ngono na mimi then basi toa pesa weka mezani hapa ndipo tuanze mapenzi inamaanisha anakushirikisha swala la biashara na sio mapenzi.

Ila kwa upande mwingine mapenzi hayahitaji mtaji zaidi ya watu wawili kujicommit kuwa pamoja katika maisha ya kipato ama njaa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nasaidia hata kama sipati kitu in return
Kuna kulipia sex na kunakusaidia au kumpa unaemjali bila kujali utamuona x ngapi

Uungwana ni zaidi ya sex
 
Kama unajua sheria au kanuni ya biashara lazima kuwe na offer mezani.

Kitendo cha mwanamke kuweka masharti kuwa ili upate kunivua nguo na kufanya ngono na mimi then basi toa pesa weka mezani hapa ndipo tuanze mapenzi.

Ila kwa upande mwingine mapenzi hayahitaji mtaji zaidi ya watu wawili kujicommit kuwa pamoja katika maisha ya kipato ama njaa.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kama ni hivo huyo kweli anauza
 
Sasa mbona Maisha yenu mgumu Kama uchi unaweza kukufanya pesa ukitaka pesa work hard yaani uchi au Sehemu ya mikojo chafu unaifananisha na Pesa inayolindwa bank na Askari mwenye bunduki na risasi , Mimi sioni mnachopata mnatombwa tu sasa ukipewa lakimoja na ukatombwa tombwa hovyo unapata faida gani zaidi ya kuchoka ?
Kuchoka na PID na ma UTI sugu yasioisha maana kila humo ndani kunaingia mafuta ya condom za kila brand, mara mate, mara shahawa zenye chemical components zenye kuzalisha Tindi kali ukeni, majasho, na wengine ametoka kugonga shoga au mwanamke kinyume na maumbile anakuja kuchomeka hapo hapo.

Khaaaaaah

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Kweli na ukute mwanaume hajawahi hata kukuuliza unaishu gani nae akushauri sms ya kwanza ya pili njoo ghetto lazima mtu aombe Hela 😂
Mie naona problem hapa ni wanawake kutokuweka dau lao wazi....nyie wekeni tuu dau lenu itapunguza malalamiko.
Jamani wanaume tunawahitaji wanawake na wanawake mnatuhitaji sie wanaume. Kwa nini malumbano turahisishia e maisha siio kukomoana.
 
Hiyo nayo inazingua, hata kama mnaanzisha mah7siano ya kimwili, lazima tendo la kungonoka lije baadaye sana, yaani lazima itanguliwe na matukio kadhaa na kutengeneza bond fulani ndipo hata mkijamiiana kila mtu atam feel mwenzake na kutomchoka au kumkinai.
Sasa watu no any progressive process no bond, no nini.
Mmeshamaliza kutongozana mnaanza kuvuliana vyupi na kutanuliana mapaja na kumuachia akupenye.
Lazima mpasuke vichwa, hayo siyo mahusiano bali ni kata kiu.
Wengi wanaingia hadi kwenye ndoa na mahusiano yao ya kata kiu
 
mbona hakuna tatizo,,kama huna mwambie sina mbona sisi wanawake ni waelewa sana na atajua afanye namna nyingine apate...tatizo mnawaza kutapeliwa tu mda wote
Mwanamke umwambie sina hela utajuta. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe unadhani ule msemo wa kuna ishu naisikilizia tuliutunga kwasababu gani.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo nayo inazingua, hata kama mnaanzisha mah7siano ya kimwili, lazima tendo la kungonoka lije baadaye sana, yaani lazima itanguliwe na matukio kadhaa na kutengeneza bond fulani ndipo hata mkijamiiana kila mtu atam feel mwenzake na kutomchoka au kumkinai.
Sasa watu no any progressive process no bond, no nini.
Mmeshamaliza kutongozana mnaanza kuvuliana vyupi na kutanuliana mapaja na kumuachia akupenye.
Lazima mpasuke vichwa, hayo siyo mahusiano bali ni kata kiu.
Wengi wanaingia hadi kwenye ndoa na mahusiano yao ya kata kiu
Naomba kunywa peps kwanza
Wapunguze uchu wa ngono waziwazi ilo la kwanza mengine yatasolvika tu kirahis
 
Mie naona problem hapa ni wanawake kutokuweka dau lao wazi....nyie wekeni tuu dau lenu itapunguza malalamiko.
Jamani wanaume tunawahitaji wanawake na wanawake mnatuhitaji sie wanaume. Kwa nini malumbano turahisishia e maisha siio kukomoana.
Dau gani mtu buku tu unaandika Uzi wa kulalamika 😂😂😂
 
Back
Top Bottom