Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Dau gani mtu buku tu unaandika Uzi wa kulalamika 😂😂😂
Ah na nyie wanawake ebu mjiheshimu bwana unaombaje buku na wewe ni mrembo umebarikiwa mbususu na tako🤣🤣🤣🤣🤣
 
Una hasira sana mm sio level hizo za kufuniliwa kisa laki ninamaisha magumu ndio ila ninafanya kazi Kwa bidii sana na mwanaume wangu sio lialia ananispoil hasa hatujaja kuchambana hapa tunazungumza tu
Sasa wewe mbona haieleweki unatetea kambi gani?

Hapa ukisoma utaona komenti nyingi zimelenga kuponda aina ya mabinti wa chuma ulete. Yaani yeye anakupigia simu kila siku au kila baada ya muda mfupi akuombe pesa tu hana story zingine nje ya kukuletea shida zake.

Sasa wewe hapa unajidescribe kama binti mchakalikaji ambaye anajua kujitafutia mapato na kuishi kwa discipline eneo la pesa. Na hawa ni wanawake ambao sisi wanaume tunaojitambua ndio tunawataka na tupo tayari kuwagharamikia sababu wanamchango.

Unakaa na demu hajitumi hata kuleta sufuria ndani wala seti ya vikombe au sahani ambazo kariakoo ukienda zinuzwa kati ya 12,000 hadi 45,000 hapo mwanamke anayejitambua atanunua vitu vya ndani na mwanaume hautakuwa na shida kutumia pesa zako kwake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Ah na nyie wanawake ebu mjiheshimu bwana unaombaje buku na wewe ni mrembo umebarikiwa mbususu na tako🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂Ila wanaume sijui mnataka nn tukitafuta Hela tuwe na Hela zetu mnalalamika tukiwaomba mnalalamika 😂😂
 
Kama hutaki kuombwa hela nenda Tu kijijini ukaoe Mzee , mjini lazima ulipuliwe tuu hamna namna kabla hata hujapewa tako , ndo mana kuna Malaya wa toa kitu upewe kitu... Unaweza kuopt huko ,
 
Hela unaijia geto na mzigo unatoa umo umo
Huku Kuna uzi mke wa mtu alifuata computer geto kwa mfanyakazi mwenzie mida ya saa Tisa na nusu mchana ........ Adi saa tatu usiku ndo akaruhusiwa enda home kufika ome mke kachezea vitasaaaa
 
Mwambie ukweli pia solve mambo ya msingi sio kutoa toa Hela kijinga mwambie malengo yaliyopo hataki achana nae sio lazima mnatongoza slay queen mnategemea watazwaza kufuga kuku zaidi ya kubadilisha wigs mvune mlichopanda
Sasa hali halisi kwa sasa ndio hiyo katika wanawake 10 utakutana nao kwa mwaka, 9 ndio hizi sampuli za tamaa , 1 ndio anakuwa vema na unakuta ni demu wa mtu.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
😂😂Ila wanaume sijui mnataka nn tukitafuta Hela tuwe na Hela zetu mnalalamika tukiwaomba mnalalamika 😂😂
Ah wee nani alilalamika kuhusu nyie kutafuta hela zenu...mbona mkipata hela zenu mapenzi yanakuwa matamu.
Tatizo nyie wachoyo🤣🤣🤣🤣🤣 sio kwenye mbususu sio kwenye hela zenu
 
Wew ndo unachukia ukweli tafuta Hela mwanaume pambana fanya maisha mtunze mwanamke wako uone kama utakuja kuandika waraka mrefu hapa
Hawaridhiki. Mtu mwenye tamaa kila unachojitoa yeye anaona ana haki ya kupata zaidi ya jana na ukisitisha huduma anaweza hata kukununia.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sasa wewe mbona haieleweki unatetea kambi gani?

Hapa ukisoma utaona komenti nyingi zimelenga kuponda aina ya mabinti wa chuma ulete. Yaani yeye anakupigia simu kila siku au kila baada ya muda mfupi akuombe pesa tu hana story zingine nje ya kukuletea shida zake.

Sasa wewe hapa unajidescribe kama binti mchakalikaji ambaye anajua kujitafutia mapato na kuishi kwa discipline eneo la pesa. Na hawa ni wanawake ambao sisi wanaume tunaojitambua ndio tunawataka na tupo tayari kuwagharamikia sababu wanamchango.

Unakaa na demu hajitumi hata kuleta sufuria ndani wala seti ya vikombe au sahani ambazo kariakoo ukienda zinuzwa kati ya 12,000 hadi 45,000 hapo mwanamke anayejitambua atanunua vitu vya ndani na mwanaume hautakuwa na shida kutumia pesa zako kwake.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kunawatu hawajui kubishana Yani ukicomment kitu anakuchukulia kama vile ndo umeomba Hela Kwa mtoa mada hasira kama zote

Mwanamke lazima ujiupgrade kiasi mtu akuone wa maana hata kama Hela hauna lkn kidogo ukiwa nacho anaona una adabu nacho na kuomba Tunaomba lakini isizid kiasi kikubwa mpunguze uchunwa ngono mnapoapproach onesha unataka kuwa mwanaume Kwa huyo bint nae sidhani a atakosa adabu na vitu vyako
 
Hivi Kwa mnavojisifu ujinga na kupenda ngono kuna mwanamke asie na akili atakuja kutoa uchiwake Kwa wanaume dizaini yenu labda awe amelogwa ishini Kwa staha mtapata wanawake wenye staha na hayo mnayoyaona yanasadikika yapo na wanawake wema wapo pia nasema mtaombwa Hela na mwakaujao mtaanza kuombwa na Figo
Mimi nikikupa pesa yangu ukaja kuniruka na kuanza mahusiano na mtu mwingine itaniathiri sana kiuchumi maana nilikuwa najitoa kwa mtu asiyenipenda ya dhati.

Ila wewe ukianza mahusiano na mimi na nikawa nakutomba hata miezi sita sijakupa hata mia, ikatokea umezingua unakuwa umepoteza nini na Pussy yako unatembea nayo imagine tungekuwa tunachukua hiyo Pussy hairudi.

Swala ni what do you offer in the relationship aside from that Pussy, maana kama wewe unaoffer pussy mimi pia nakupa Dick yako.

Pussy kazi yake ni kupee chooni, na kutengeneza mtoto na kiungo cha kuchomeka Dudu ukitombwa, it doesn't bring Cash, it doesn't pay rent, it doesn't bring food. Wewe kama mwanamke ukitoa huyo pussy nini unaweka mezani kama dhamana ya uhalali wako kuwa mpenzi wa mtu?

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Sijakataa ila.mpunguze kulalamika Sasa tumewachoka [emoji23][emoji23][emoji23]wanaume hamna vifua kabisa
Bila kulalamika nyie hamtajifunza na hii laana ya udangaji mtaipeleka kwa watoto na wajukuu wetu wa kike sisi hatutaki hali ifike huko.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom