Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

em fatilia comments zangu kuanzia ya kwanza na uone,,,halafu mbona unapenda kuchukulia mambo serious kiasi hicho,,una shida mahali wewe sio bure [emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa mbona wewe ndie unachukulia comments zangu too personal, where is your sense of humor?! Hebu kuwa mkubwa basi kidogo. Don't be too sensitive.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mie naona problem hapa ni wanawake kutokuweka dau lao wazi....nyie wekeni tuu dau lenu itapunguza malalamiko.
Jamani wanaume tunawahitaji wanawake na wanawake mnatuhitaji sie wanaume. Kwa nini malumbano turahisishia e maisha siio kukomoana.
Maana shida wanatuektia kuwa wanataka tuwe na mahusiano ya mapenzi ya kweli halafu kumbe ni trick wanataka waturubuni ili wale pesa zetu. Nani ataruhusu huo ukuda.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom