Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
- Thread starter
- #241
mimi babu wa niniWee utakuwa upo na kibabu mume wa mtu na upo nae kwa ajili ya kukulipia kodi ndo unamhadaa hamu ila lazima kuna mtu anakukula kiulaini xna hapo kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi babu wa niniWee utakuwa upo na kibabu mume wa mtu na upo nae kwa ajili ya kukulipia kodi ndo unamhadaa hamu ila lazima kuna mtu anakukula kiulaini xna hapo kwako
Kwanini nisiwe serious??
nikupe number zake. umwelekeze sehemu za kunigusa???Huyo mpenzi hajui pa kukugusa.
Akikushika patamu utasahau hata huo msimamo wako.
nikupe number zake. umwelekeze sehemu za kunigusa???
haya maswali mtaulizana wenyewe. mnapofundishanaKumbe nipo sahihi hajui pa kukugusa.
Kwani ipo moja?Mimi huo ni msimamo wangu kabisa. Hutaki basi,
ruhsa kutafutaKwani ipo moja?
kumpa mwanaume hela eti mnasaidiana ni kujipendekeza tu. MUME ndo ninaweza kumsaidia huku nikijua ni mume wangu
mimi sio wa kariri. ila ndo hivyoEndelea kukariri maisha...mimi sijaoa ila namshukuru Mungu kila girlfriend ninayekua nae si wakukariri maisha..namsaidia anayeweza kusaidia nakujibeba. Huo ndo usawa. Sio single sided...binti anayeniomba hela tu hata kama ninayo ama sinayo she us as good as a trash bin to me..mbaya mademu wakukariri maisha ka ninyi ndo wale ambao mna ela lakini utasikia beb nipe hela yakusuka!! ..si una ela zako zangu tu za nini!?