Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Yap, oa mwanamke anaekupenda usioe unayempenda...utainjoy life coz hakutakuwa na mapichapicha mengi yasiyo na maana
Mkuu hii coment yako inafaa kuanzishiwa thread kabisa mkuu.

Ukioa mwanamke anaekupenda wewe uwe unamthamini na kumheshimu na kumuonyesha upendo wa kawaida tu.kama vile kutoka nae out.
Kumuachia baadhi ya mambo ya nyumba apange yeye kama kumpa pesa ya chakula apange yeye nini anunue,kumsaidia shida zake ndogo ndogo.
Kumridhisha kimapenzi na kumsifia kiaina yeye hapo ataona kafika sana,na hilo ndo nalishuhudia na kulifurahia mimi.

Ukimpenda mwanamke anazingua sana,mashauzi mengi sanaa.
 
Sema unapenda pesa . Jaribu kuachana nae ili umpate unayehisi unampenda.
 


kumbe mwajua wanawake wanapenda nn ..lakini kutwa kulalamika ohh wanawake hawaelew wanapenda nn.. ht km kumoa out mara 1 kwa mwezi inatosha sana mthamini km mke... msikilize!mbn maisha yatakuwa marahisi sana tu!.. umeandika hayo hua wamfanyia kweli mkeo...lol
 
Umetoa comment ya kiutu uzima Sana. Yaani umeonyesha ukomavu Kama Mwanamke halisi anayejua maisha ni nini na ni jinsi gani wanawake wanahangaika kupata mwanaume anayejitambua.

Very sorry hata weza kukuelewa
 
I see.
Una moyo sana my dada. Uliolewaje na jamaa ambaye huna hisia naye kabisa?
 
Jijengee akilini hakuna mwanaume kama huyo uliyenaye, moyoni mwako mpe heshima km aliyokupa na thamani aliyokupa kukufanya mke, km kuna mahali anakosea mnapokuwa faragha muelekeze akufanyie vile unataka, utajikuta unampenda ila endapo tu hauna mbadala wa uyo shemeji yetu, kama yupo akuna utachobadilisha
 
Kuna wanawake wajinga sana tena sana hasa wewe your too stupid enough
Mkuu hiyo sio dawa, huyu ni 1/100 aliyeamua kujitoa kuwakilisha wengine

Tunakosea tukianza kumshambulia kwasababu amekuwa muwazi akihitaji mawazo yetu juu ya namna ya kuinusuru ndoa yake

Amesema wazi hana nia ya kuachana na mume wake ila anataka kuwa naye kimwili na kihisia.
Kwa kutambua humu kuna watu tofauti tofauti wenye taaluma/ujuzi/uzoefu tofauti pia.
 
shukrani mno, sina mbadala wowote wa huyu nilie nae na angekuwepo ukweli ningeuweka hapa. nitazingatia hili ulilonishauri
 
I see.
Una moyo sana my dada. Uliolewaje na jamaa ambaye huna hisia naye kabisa?
Inatokea sana.....nina wifi yangu aliolewa na mwanaume hampendi mapenzi walikuwa wakishiriki kwa kuwa tu ni mume wake, miaka 15 kwenye ndoa na watoto juu ila saivi anasema ameshindwa anataka waachane
 
Hapa ndipo huwa sielewi maana
Ma dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
Mapenzi bwnaa huwa siyaelewi sasa hapo huyo jamaa c anampenda dada ni vp apate mwingine tena.hiv kwenye ndoa inawezeka kweli mkapendana wote kabisa???
 


yeah ni kweli..anawakilisha wanawake wengi sana ... mmebaki wachache wenye busara mie ht sishangai
 
CHANGE YOUR MIND SET
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…