Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 726
Best wangu napenda ila naheshimu sana hisia za upande wa piliwewe best hujawah jikuta umempenda msichana lakini baadaye ukagundua huna hisia naye? mbona unaumia hvyo na huku ni kawaida?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Best wangu napenda ila naheshimu sana hisia za upande wa piliwewe best hujawah jikuta umempenda msichana lakini baadaye ukagundua huna hisia naye? mbona unaumia hvyo na huku ni kawaida?
Hiyo ni kabisa kabisa.Sitongozi asiyenipenda mimi.kwahyo unataka kusema kila.mwanamke unayemtongoza lazima akupende?
😀😉 iwe ngumu hapana kuilainisha kwa grease
Hiyo ni kabisa kabisa.Sitongozi asiyenipenda mimi.
I agree with You.Sio kila anaevumilia anavumilia kwasababu anakupenda.
Amin nami nakwambia mnajua sana kuitesa jinsia ya pili
Mkuu hii coment yako inafaa kuanzishiwa thread kabisa mkuu.Yap, oa mwanamke anaekupenda usioe unayempenda...utainjoy life coz hakutakuwa na mapichapicha mengi yasiyo na maana
Mkuu hii coment yako inafaa kuanzishiwa thread kabisa mkuu.
Ukioa mwanamke anaekupenda wewe uwe unamthamini na kumheshimu na kumuonyesha upendo wa kawaida tu.kama vile kutoka nae out.
Kumuachia baadhi ya mambo ya nyumba apange yeye kama kumpa pesa ya chakula apange yeye nini anunue,kumsaidia shida zake ndogo ndogo.
Kumridhisha kimapenzi na kumsifia kiaina yeye hapo ataona kafika sana,na hilo ndo nalishuhudia na kulifurahia mimi.
Ukimpenda mwanamke anazingua sana,mashauzi mengi sanaa.
Umetoa comment ya kiutu uzima Sana. Yaani umeonyesha ukomavu Kama Mwanamke halisi anayejua maisha ni nini na ni jinsi gani wanawake wanahangaika kupata mwanaume anayejitambua.1. nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say,
2. dada yangu alinambia , usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions"
Those are two fcuken reasons you have to stay with him and struggle by hooks and crooks to love him.
The same dada of yours will teach you how to love him, you know why...!!!! HE IS A ONE IN A MILLION.....
3. The besty last option ni kuiweka picha yake mitandaoni hasa FB na hapa JF halafu nadi anatafuta mchepuko na weka na namba zake za simu. Akifanikiwa kupata gumegume linalompikia ugali laini halafu anauremba kama taulo la kujifutia mikono na mboga anaziremba kama swimmingpool na garden ndo utatambua kama umewezaje kuishi nae muda wote huo wakati huna INTIMACY nae.
Ukifanikiwa hii last option, aidha utampenda milele au utaachana nae milele, then get prepared kuwa single parent au mseja for good.
I see.Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati . Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia , usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika. Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike. sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Sema unapenda pesa . Jaribu kuachana nae ili umpate unayehisi unampenda.
Jijengee akilini hakuna mwanaume kama huyo uliyenaye, moyoni mwako mpe heshima km aliyokupa na thamani aliyokupa kukufanya mke, km kuna mahali anakosea mnapokuwa faragha muelekeze akufanyie vile unataka, utajikuta unampenda ila endapo tu hauna mbadala wa uyo shemeji yetu, kama yupo akuna utachobadilishaKwanza sio kweli kwamba pesa ndio iliyonivuta kwake ila generally ni mkaka mwenye sifa nzuri, hata mimi nina kazi na kipato changu kiasi. Ninakiri kukosea kuolewa bila ya kuzingatia hisia zangu. Ninachohitaji ni namna ya kuifanya ndoa yangu yenye furaha ya kweli. Nini nifanye??
Mkuu hiyo sio dawa, huyu ni 1/100 aliyeamua kujitoa kuwakilisha wengineKuna wanawake wajinga sana tena sana hasa wewe your too stupid enough
shukrani mno, sina mbadala wowote wa huyu nilie nae na angekuwepo ukweli ningeuweka hapa. nitazingatia hili ulilonishauriJijengee akilini hakuna mwanaume kama huyo uliyenaye, moyoni mwako mpe heshima km aliyokupa na thamani aliyokupa kukufanya mke, km kuna mahali anakosea mnapokuwa faragha muelekeze akufanyie vile unataka, utajikuta unampenda ila endapo tu hauna mbadala wa uyo shemeji yetu, kama yupo akuna utachobadilisha
Inatokea sana.....nina wifi yangu aliolewa na mwanaume hampendi mapenzi walikuwa wakishiriki kwa kuwa tu ni mume wake, miaka 15 kwenye ndoa na watoto juu ila saivi anasema ameshindwa anataka waachaneI see.
Una moyo sana my dada. Uliolewaje na jamaa ambaye huna hisia naye kabisa?
Mapenzi bwnaa huwa siyaelewi sasa hapo huyo jamaa c anampenda dada ni vp apate mwingine tena.hiv kwenye ndoa inawezeka kweli mkapendana wote kabisa???Ma dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
Mkuu hiyo sio dawa, huyu ni 1/100 aliyeamua kujitoa kuwakilisha wengine
Tunakosea tukianza kumshambulia kwasababu amekuwa muwazi akihitaji mawazo yetu juu ya namna ya kuinusuru ndoa yake
Amesema wazi hana nia ya kuachana na mume wake ila anataka kuwa naye kimwili na kihisia.
Kwa kutambua humu kuna watu tofauti tofauti wenye taaluma/ujuzi/uzoefu tofauti pia.
CHANGE YOUR MIND SETWakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati . Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia , usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika. Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike. sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu