Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Hii ndio asilimia 500 ya wanawake wengi walioko kwenye ndoa. Hawana ile true love.. hawakumpenda mume. Bali waliolewa sababu mume ni handsome, ana pesa, ana manyumba, ni maarufu.

Na wewe ni mmoja wapo, pole lakin Muombe sana Mungu akusaidie. Umeshakosea, maji yameshamwagika yazombe hamna namna.
Usije uka mcheat kuridhisha nafsi yako, siku ukitoka kwake ndio utagundua kuwa ulikuwa unampenda.
 
That the truth. Pesa hainunui penzi. Huwa nawashangaa wanaume wenzangu wanaodai pesa itamfanya mke atulie. Niwaambie tu utatuli mwili lakin si nafsi ya mwanamke.

Akikutana na kipenda roho huko nje.. hata kama una mabillion. Atachepuka tu akapoozwe.
 
That the truth. Pesa hainunui penzi. Huwa nawashangaa wanaume wenzangu wanaodai pesa itamfanya mke atulie. Niwaambie tu utatuli mwili lakin si nafsi ya mwanamke.

Akikutana na kipenda roho huko nje.. hata kama una mabillion. Atachepuka tu akapoozwe.
Kuna sehemu nimesema mume wangu ana fedha au maarufu?
 
Mapwenti kama yoooteee
 
Yaani wewe.Haya mapointi si upewe tu hata ubunge wa kuteuliwa?
 
Pole sana mama kwa kujinyima furaha kwenye kitu cha thamani kama ndoa. Maamuzi ni yako. Kuendelea kuishi na mwanaume usie na hisia nae au kutoka kwenda kutafuta unaempenda. Ila kama umeweza miaka sita bila mumeo kujua endelea kuvumilia sababu ina inaonekana kuna kitu bado kinakufanya uendelee kushikilia ndoa yako.
Kwa kitandani anza kubadilisha akili yako. Mawazo ya kwanza hakufurahishi yapotezee ukiwa nae. Ikiwezekana kunywa kidogo kabla ya game na hakikisha na yeye ana furaha ili akupe furaha wakati huo.
Sababu ya kwanza iliyokufanya ukubali ndoa ikumbuke hiyo hiyo uendelee kulinda ndoa yako. Japo nina wasiwasi siku kimoja kikipungua utaondoka bila kugeuka nyuma.
Akili kumkichwa
 
Shoga angu, enjoy ooh. Kuna wanaume "wapumbavu", yet ukikuta wake zao wanavyostruggle to keep them, unajiuliza huyu anahangaika na nini jamani? Watu wanavunja nazi, pasua mayai, vilingeni kama 2nd home, shinda kanisani; kisa tu ndoa na hapo mume ni pasua kichwa. Yani kama kuna vitu vigumu duniani, basi finding a good partner ni kimojawapo. You got a man who loves, honors and respect you, Mungu akupe nini tena? Do whatever it takes to keep him. Kila la kheri
Thank you
Thank you
Thank you !!moyo wangu umejiskia kuinuka mno baada ya kusoma ushauri wako. Help me Oh God, to see how blessed I am, teach me to reciprocate my husband's love.
You are truly heaven sent
 
niakianza kukudharau,kucheat na kuwa na tabia za ajabu ndo utampenda,niamini mimi, you have low self esteem unahitaji wanaume wa ajabu ajabu ndo type yKo.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿท๐Ÿธ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ