Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Kinachokukuta ndio kinawakuta zaidi ya 90% ya waliopo kwenye Ndoa.

Wanawake wengi ni 'fakers', wanauwezo wa kuigiza miaka nenda rudi ali mradi tu Jamaa mifukoni kunaeleweka.
kweli mkuu, mimi nikija pata wa kuoa, nitamwabia anipe sababu kaa 10 za kunipenda na kutaka tufunge ndoa, sitaki fakes in my life
 
Mkuu mimi hata sijui bwana hahaa
 
Ma dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
hawezi muache maana yake haja kubwa ni hela
 
it seems you never understood her pls
 
Tatizo namheshimu sana pengine ye anajua ndio mapenzi daah I wish ajue
Hzo "i wish" ndo znazo wacost wadada wengi nayajua maumivu ya kuwaza A na matokea kumbe n B ina pain sana

Tatzo litakuja ni muda alowekeza kwako heb fanya njia yeyote aweze ku move on
 
Mwanaume.My point is mtu anayejielewa awe mwanaume ama mwanamke hawezi kumbatia unhealthy relationship kwa kisingizio cha uvumilivu,coz uvumilivu una mipaka.
You mis my point. Wanawake wana survive katika mahusiano pamoja na na uwepo wa mengi lakini namba moja penzi la dhati. Kwahiyo mke anaweza akakaa kwa mumewe mwenye tabia mbaya kwa sababu tu anampenda huku akiomba labda kuna siku atabadilika. Akili za kwako wewe mwanaume linapokuja suala la mapenzi kwa mwanamke ni tofauti babu.

Kwa upande wa wanaume linapokuja suala la mapenzi siye ni tofauti. Soma post yangu niloanza nayo.
 
Mapenzi hayana sheria mdogo wangu.nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu .kuwa free like a molecule acha hisia za kawaida za kibinadamu zikuongoze.
 
i get your point, but no one forces a lady to love him, so if you yourself you never want anything to do with this bro, why dont you do the necessary, introduce him to your bf or lover, game over, but the fact you havent done that means you still want him to continue helping you, yaani unataka kuendelea kumutumia tu,kama binti hakupenda anakuoyesa mpenzi wake, lakini story kaa ya huyu hapa aliolewa tu ndio ale hela ya huo bwana, hakuna lingine
 
Kuna siku asubuhi nimeamka nakutana na ule wimbo wa Baraka sijui unaitwaje nadhani kama unasikilizaga bongo flavour umeshaujua
Hzo "i wish" ndo znazo wacost wadada wengi nayajua maumivu ya kuwaza A na matokea kumbe n B ina pain sana

Tatzo litakuja ni muda alowekeza kwako heb fanya njia yeyote aweze ku move on
 
Hapana sijutii. Ila ninatamani kumpenda kama anavyonipenda na kufurahia kuwa nae.
Acha zako hukumpenda ulipenda hela yake, ongea ukweli, unaweza aje oa mtu humupendi au wewe ni muislamu, maana waislamu ndio huolewa hizo ndoa za lazima
 
Hahaaa nyie bana daah....ndo maana mnatendwa sana kumbe
 
nimekuelewa chief
 
those are the kind of questions you could have asked before marriage, you never did courting, counselling and such????????????????????????????????????????
 
Mapenzi hayana sheria mdogo wangu.nipo kwenye ndoa mwaka wa 10 huu .kuwa free like a molecule acha hisia za kawaida za kibinadamu zikuongoze.
Kuna sehemu ya kuwa free, ila kwa case ya mleta mada ukiwa free kama unasema jiandae kusaza meno siku za mbeleni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…