Napokwambia uwe free namaanisha acha hisia za kawaida za kibinadamu zikuongoze, ikitokea amekuudhi chukia, lia pigana, ongea whatever. Ikitokea amekufurahisha mkumbatie,mpe zawadi, muimbie fanya chochote unachojiskia. I mean ishi kawaida ila usipange muda huu nitafanya hivi au vile au namna gani .sijui kama unanielewa.Kuna sehemu ya kuwa free, ila kwa case ya mleta mada ukiwa free kama unasema jiandae kusaza meno siku za mbeleni.
Kwani ndoa ni rohoo useme ikivunjwa mtu atakufa?Yaani unamshauri mwenzio avunje ndoa
My dear ulikosea sana tangu pale ulipoamua kuolewa nae. Mimi pia hali hiyo imeshanikuta...kuna huyu kaka ananipendaga, hajawahi kunitamkia hivi seriously ila matendo yake yanaonyesha waziwazi mwanzo tulikuwa kama kaka na dada tu ila huwa ananisaidia sana, ananijali shida yangu anaibeba kama yake, asione nna shida atafanya juu chini anitatulie japo hana pesa kihivyoo ila ni mchakarikaji na vijisenti vya hapa na pale havimpigi chenga. Anajitahidi kunionyesha mapenzi ila mimi hajawahi kunishtua hata ubongo yani simpendiii yaani akinihug kikawaida hivi labda tuseme tunasalimiana najinasua fasta natamani nimsukumie kule, hapa ndio najua si kweli kwamba mwanamke anaweza akawa na mahusiano na mtu kwajili ya pesa tu..lazima kunakuwa na tumapenzi japo kiduchu hata siku moja pesa haiwezi kununua mepenzi trust me.
hakuna mwanamke anapanga kumwacha meanaume kama hana second optionInawezekana yapo mkuu ila wanasema hakuna binadamu asiye na bei hahaa mimi naamini yapo japo kidogo bwana
i get your point, but no one forces a lady to love him, so if you yourself you never want anything to do with this bro, why dont you do the necessary, introduce him to your bf or lover, game over, but the fact you havent done that means you still want him to continue helping you, yaani unataka kuendelea kumutumia tu,kama binti hakupenda anakuoyesa mpenzi wake, lakini story kaa ya huyu hapa aliolewa tu ndio ale hela ya huo bwana, hakuna lingine
Tumekosa nini sasa jamani heeHahaaa nyie bana daah....ndo maana mnatendwa sana kumbe
Mimi nashauri madam amelikoroga alinywe tuKwani ndoa ni rohoo useme ikivunjwa mtu atakufa?
umeshindwa kabisa kumpenda.....sasa kwnn unaishi nae??, si ndio chanzo cha kutafutiana sababu....ok ila siku akipendwa usilie.Hapana sijutii. Ila ninatamani kumpenda kama anavyonipenda na kufurahia kuwa nae.
Hivyo viela vidogo unavyochukua huenda vinampa expectation huyo jamaa,akiamini kwamba one day yes jiepushe na wamwaga acid dada yangu.tengeneza mazingira amjue boyfriend wako mapema au la usile vyake.Tumekosa nini sasa jamani hee
Yaani nione imethibitishwa nirudishe...nitajaribu mkuu ila nimepanga siku nikibarikiwa nitamrudishia hela zake na ribaHivyo viela vidogo unavyochukua huenda vinampa expectation huyo jamaa,akiamini kwamba one day yes jiepushe na wamwaga acid dada yangu.tengeneza mazingira amjue boyfriend wako mapema au la usile vyake.
"Tumapenzi japo kiduchu"ππππππMy dear ulikosea sana tangu pale ulipoamua kuolewa nae. Mimi pia hali hiyo imeshanikuta...kuna huyu kaka ananipendaga, hajawahi kunitamkia hivi seriously ila matendo yake yanaonyesha waziwazi mwanzo tulikuwa kama kaka na dada tu ila huwa ananisaidia sana, ananijali shida yangu anaibeba kama yake, asione nna shida atafanya juu chini anitatulie japo hana pesa kihivyoo ila ni mchakarikaji na vijisenti vya hapa na pale havimpigi chenga. Anajitahidi kunionyesha mapenzi ila mimi hajawahi kunishtua hata ubongo yani simpendiii yaani akinihug kikawaida hivi labda tuseme tunasalimiana najinasua fasta natamani nimsukumie kule, hapa ndio najua si kweli kwamba mwanamke anaweza akawa na mahusiano na mtu kwajili ya pesa tu..lazima kunakuwa na tumapenzi japo kiduchu hata siku moja pesa haiwezi kununua mepenzi trust me.
Haha ni kweli boss"Tumapenzi japo kiduchu"[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji23]