Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

Mwanamke unawezaje kuishi kwenye ndoa na mwanaume ambae hauna hisia nae?

@manengelo Ahahhahha namfanyia kweli.

Pesa ya matumizi kwa mwezi mzima nampa yeye ashike na apange kuhusu chakula.

Siku akiniuliza tule nini mume wangu huwa nacheza na saikolojia yake namuambia "wife sitakiii utata nilisha kuambia mambo ya chakula wewe ndo msimamizi unapanga tule nini nini upike sasa unaniuliza mimi nina utaalamu gani?"

Basi hapo anaondoka kwenda jikoni akiwa anatabasamu kufurahia kuona nimempa cheo katika sekta yake na ataenda kupika menyu ya kufa mtu kwa sababu kashaona ameaminiwa so hataki kuniangusha.

Au kama ishu za pesa ya akiba basi namuambia mfano wife laki tano hizi apa tuziweke mie siwezi kutunza pesa hasa ziweke wewe,mimi mara nimenunua hiki na hiki,aaaaah hapo wife nikimpa hawazi upuuzi wa kununua nguo au kitu kingineee baali atajihaidi aitunze hyo hela ili kulinda ule uaminifu niliompa.

Katika ishu za kawaida huwa namtania sana yaani mpaka anavunjika mbavu kwa kucheka,some time akiniona tu hata kama sijaongea anachekaa ,nikimuuliza ananiambia nakumbuka kituko chako cha siku fulani.

Yaani nina mengi ya kuandika kuwafunza wanaume wenzangu ila kiufupi hata niwe mbali nae bado ataendelea kunikumbuka tu.

Namshukuru Mungu kunipa kipaji cha kumhendo mke wangu.
Shukuru umepata mke anayekuelewa mkuu, hata hayo unayomfanyia anapenda na kuonesha shukurani kwa kuwa sio mbinafsi ila angekuwa msanii ungejuta! Nahisi huyo mwanamke aliwahi kuwa best yako sana kabla hujamuoa
 
Kazi sana, hapo ndipo kichwa kinauma, ndoa nyingi siyo mapenzi ya dhati, hasa baada ya kupata watoto, yale mapenzi ya ujana yanaondoka na ukweli ndipo unakuja, kuwa mko pamoja kutimiza yale ya kupata kizazi kama wazazi wenu, ukitaka mapenzi ya kweli, msifunge ndoa, mikichokana kila mtu na time yake, ila mkifunga ndoa na kupata watoto, ule moto wa zamani lazima upotee tu..
Inaitwa utu uzima, busara, majukumu...
 
Hata wanaume wenye good women wanatake advantage tu ya wake zao. Binadamu sijui tuna shida gani.
Too bad wanawake wenye wanaume wenye huruma, kuwathamini na kuwajali genuinely huwa hawaonagi mambo in such perspective! Hawajuagi there are a million women out there wishing to have that kinda treatment hata week moja tu ndani ya mwezi, mtu anakupa time na priority ila unamuona zoba bwege mtozeni duh as if kwamba wewe ni special sana ama huna mapungufu! Huwa inaumiza sana but umemshauri vizuri sana, tuombee aufanyie kazi huu ushauri!
 
kumbe mwajua wanawake wanapenda nn ..lakini kutwa kulalamika ohh wanawake hawaelew wanapenda nn.. ht km kumoa out mara 1 kwa mwezi inatosha sana mthamini km mke... msikilize!mbn maisha yatakuwa marahisi sana tu!.. umeandika hayo hua wamfanyia kweli mkeo...lol
Bado mwanamke hajui anataka nini
Amini mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]haya

IMG_0205.JPG
 
Ma dear, tunaishi mara moja katika dunia hii.Kama hakupi amani achana nae katafute wa moyo wako. Nadhani kuna wengi wanampenda hila wewe ndo unawashikia shuka jekundu. Muache na yeye atafute yule Mungu amempangia.
Acha kumshauri mwenzio ujinga wewe
 
Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.

Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.

Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.

Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
Hii ndio shida ya wanawake wengi sana hapa duniani, na hili no gonjwa, wanaume mpate picha kamili, kwani hii ndio hali halisi ya maisha tunayoishi na hawa viumbe wa ajabu, kwa hali hii unadhani mwanamke wa hivi akikutana na njemba njemba nyingine huko nje akaitamani yeye atashindwa kujiachia ?, yaani unakaa na mwanamke unajidanganya eti ni mkeo kumbe yeye hana kabisa hata hisia na wewe, kumbe hata pale kanisani wanaposemaga "ndio nimekubali" huwa ni usanii tu
 
Wewe nawe sasa ulimkubalia nini? Siunge mkataa? Mpaka mefunga ndoa mezaa na watoto badotu humpendi? acha kutania haya maisha, tulia nahuyo mume wako leeni watoto wenu pamoja huyo mdudu anae kusumbuwa na mkemea kwajina la yesu TOKA PEPO MCHAFU

Wakati wa uhusiano kabla ya ndoa nlikua na sita juu ya hisia zangu za kimapenzi juu yake, hakua na shida yoyote na nlivutiwa na vile he is 'a good package', the least I can say, ni mkaka mzuri sana,mchapakazi, mkarimu na ana upendo wa dhati.

Nlipokuwa najitafakari na kuomba ushauri watu wa karibu including dada yangu alinambia usipoteze chance ya kuwa nae "he is one in millions" na utajifunza kumpenda taratibu. Lakini muda umepita sana bado sijajifunza kumpenda. Siku ya harusi yangu nlijua kabisa ninasita sita, yaani ile furaha ile saaana sikua nayo. Nlijua tu labda ni woga wa tukio kubwa sana maishani lakini hata baada ya hapo hisia zangu hazijabadilika.

Ni mume mzuri, ananipenda na kunijali sana, hana shida kabisa na tunatunza familia yetu vizuri kabisa na tunaelewana katika aspects nyingine za maisha vizuri na hatuna ugomvi wala mikwaruzano, lakini shida ni kuwa ile chemistry haipo, yaani sipendi intimacy nae, sitamani aniguse , anibusu wala anishike.

Sijawahi kucheat ila natamani kujua namna gani nifanye ili niweze kufurahia ndoa yangu
 
Nimeshaanza boss..sasa hivi nimehamia sehemu nyingine na sina mpango wa kumjulisha ninapokaa
Dah, unazingua sana ujue tena kacha mazoea nae kabisa maana mwenzio kashajenga hisia taratibu anajua unamuelewa ila siku akistuka unamtumia atakufanya mbaya hutakaa amini hio kitu yani! Na huo upendo utageuka kuwa chuki ilihali we ndio utajikuta unamuhitaji yashanikuta hayo nadhani yule manzi anajuta kunifahamu!
 
Thanks for seeing that bro, i know lots of ladies nowdays only marry a guy coz he drives, has a nice job and so on, and its true she is a big LIAR, ati she has a job and she is able finacially, UONGO KABISA, huyu if you check carefully she is even a housewife, has no job,these our sisters think money is all you need no way, i beleive GOd give us diffrent gifts and talents which if any one of us uses and puts it in proper use will earn you WEALTH,so i cant if i am a lady marry a person who i dont love coz of his HELa, no way, i will use my INNOVATION and CREATIVITy to make my wealth,i just need to take my time, have patience, hard work,think smart and such and with GOD on my side i will make WEALTH, it matters not if i am a man or woman.
'She is a big liar' you don't have to accuse me or judge me. If you dont have anything to help just brush it off.
Ndugu hunifahamu wala sikufahamu. Nidanganye ili iwaje? Nini faida ya kudanganya hapa?
Nimesema na nimejiongelea binafsi kile ninapitia. Nina makosa yangu nimefanya ninaloangalia ni kuyasahihisha.
 
Back
Top Bottom