Wanahisi kwa Mungu ni kama betting kwamba unaangaa mikeka mingi alaf unasubiria uone utakao tiki.Huwa nacheka sana kumuona binti maisha yake ya mtaani ni full kujiachia na kuwapanga washkaji halafu kila jumapili anakwenda kuomba baraka za mwenyezi MUNGU amfungulie njia apate mahusiano serious.
Sasa why huwa watoto wa kike wanakuwa so gameishly Playful na toying around serious men?!
Na hapa ndipo wengi wanaishia kutumika na ndio mtego mabinti wengi wanaingia. Hii kutaka mwanaume aje vile yeye anataka.Wanahisi kwa Mungu ni kama betting kwamba unaangaa mikeka mingi alaf unasubiria uone utakao tiki.
Wengne wanaomba Mungu awape wame bora huku wameisha jiwekea sifa za nje za wanaume wanaowataka yan wanampangia Mungu
Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Na hapa ndipo wengi wanaishia kutumika na ndio mtego mabinti wengi wanaingia. Hii kutaka mwanaume aje vile yeye anataka.
Me nimeona mabinti wengi wakishaanza kuishi na wanaume waliowataka huwa wanaanza kubadilika baadae wanaanza kutoka tena nje sababu anagundua jamaa hana ile character ya mwanaume anaemhitaji ila ana mwonekano anaoutaka.
Hapo tayari anakuwa ameshakichezea. Ujauzito juu muda si mrefu wanatemana anaanza kutafuta at least mwanaume anaepumua.
Binadamu kuna mda huwa tuna ujinga mwingi yan akili na mawazo yetu tunataka yafanane naya MunguNa hapa ndipo wengi wanaishia kutumika na ndio mtego mabinti wengi wanaingia. Hii kutaka mwanaume aje vile yeye anataka.
Me nimeona mabinti wengi wakishaanza kuishi na wanaume waliowataka huwa wanaanza kubadilika baadae wanaanza kutoka tena nje sababu anagundua jamaa hana ile character ya mwanaume anaemhitaji ila ana mwonekano anaoutaka.
Hapo tayari anakuwa ameshakichezea. Ujauzito juu muda si mrefu wanatemana anaanza kutafuta at least mwanaume anaepumua.
Miaka 35+ unamaanisha unakuwa na hamu zaidi ya kusex??Kuokoka ni kujifariji tu sababu mziki wa stress huwa si wa kitoto kuuhimili.
Ila yote kwa yote balaa ni umri ukienda miaka kuanzia 35 kwenda juuu. Aiseee that's HELL . Na kwa maisha ya bongo haya sijui hali itakuwaje huko mbeleni.
Aaah sio kwangu, yaani atanishinda kichawi ila si kwa mdomo.Nguvu ya mwanamke ipo mdomoni, hivyo ni jambo la kiasili mwanamke kutumia silaha ya mdomo kumshinda mwanaume.
Ukilijua hili wala usishindane nao.
The favor of God is upon me. Soon very soon i will be doubled.Until.....
Kha😜Ndo maana kila siku hamkomi kuliwa kimasihara na madreva boda na bajaji, watu tumechoka humu na uzi wa kuliwa kimasihara
The favor of God is upon me. Soon very soon i will be doubled.
[emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 35+ unamaanisha unakuwa na hamu zaidi ya kusex??
Huko ni kujifariji tuu ila ukweli hakuna mwanamke anayependa kuwa single.Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Lakini kumbuka unawatesa Watoto wako kwa kukosa Mapenzi ya Mzazi mmoja,na athari zake utakuja kuziona baadae huko!!Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Pole hujakutana na Wanaume wenye misimamo yao,utajuta kwa nini ulijibu jeuri!!Natutaendelea kuwajibu tutakavyo na kuwa wajeuri wanaume wenyewe vilaza hamueleweki.[emoji23][emoji23]
Hamna mwanaume mwenye misimamo wote sawa tu ukizingua lazima uzinguliwe tu.Pole hujakutana na Wanaume wenye misimamo yao,utajuta kwa nini ulijibu jeuri!!
Unajifariji tu, maana aliyeanzisha ndoa alikuwa na hekima mara 10000.Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Wanaume kutopenda majukumu ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa single mothers
Kuna kifo cha mzazi wa kiume
Kuna uhuni wa mwanaume, ile kila sehemu mwanaume anapita na mwanamke anayemuona
Sababu ni we naona huwajui wanawake wenzako
Huko ni kujifariji tuu ila ukweli hakuna mwanamke anayependa kuwa single.
Ila wanawake kwa kupotoshana, kuna bichwa maji moja itafanyia kazi comment hii jumla jumla. Usikute muandishi mwenyewe alikimbilia ku login na kuandika akiwa kamaliza kupigwa pump hajanawa/futa hata utomvu huko makuTupora.Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
vivyohivyo na kwa upande wa piliMwanaume ukishamchoka, hana jipya unaloona unalipata kwake, alishakutenda sana moyo ukageuka chekecheke unakuwa na hasira naye na unamjibu vibaya sana