Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,429
Reaction score
4,125
Shikamoon wakubwa zangu wadogo zangu hamjambo

Habari za jumapili.

Leo niongee na dada zangu na wadogo zangu waliopo humu ni jinsi gani utateseka na kuumia ikiwa tu, huna pesa yako mwenyewe.

Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku ukimuomba pesa anaanza kuona hufai wewe ni Malaya.

Lakini pia ,
Unaweza kujitoa out mwenyewe,unaamua Kula chakula fulani na soda yako ,mara limwanaume linakuja linauliza ,Una mtu ,unajibu nipo mwenyewe,linaomba likae huku linajichekesha na kuamua kulipa bili zako ambazo uliagiza ukiwa na uwezo wa kulipa,sasa ghafla anakuomba namba ya sim unafikiriaaa unaona nimpe .

Baadaye ni masaa machache linalazimisha kutaka mkalale,loh Nani ni Malaya wa hivyo jamani,hapa najiuliza wanawake wasio na kazi maalumu wanaishije?

Haya upo zako umerikwest bolt,kinatokea kibabu oooh mrembo wapi unaenda wapi mbona upo juani,ooh unaonekana Una haraka,
Unamtajia unapoenda,kibabu kinaamua kukupa lift na kujitolea kukupeleka Hadi karibu na nyumbani kwako,mpo kwenye gari lake kibabu kimeweka miziki ya vijana Hadi aibu.

Huku kikikutajia miradi yake,mara ana duka ,sijui ana daladala zinaenda wapi,muda huo kimevaa reflector ili ukione kiinjinia,loh unakiambia nishafika,kinaanza kufosi uache namba za simu huko kikikunja uso kujaribu kulazimisha,unakataa

Huku kimevimba,kimefura Kwa hasira kisha unaondoka.

Lakini pia ,naamua zangu kuvaa casual, nimesuka nywele twende kilioni Kwa 2000 tu,navaa Dera langu la 15000 na viatu vyangu vya 7000 nilivyoletewa na muha nyumbani kwangu ,kisha huyooo natembea barabarani ,unakutana na limwanaume linakuona umechoka,linaanza kukutafsiri wewe ni masikini,utasikia mara ooh Mimi nitakupeleka mlimani city, utafanya shopping ya nguvu,mara ooh nitakupa utakachotaka,unaishia kucheka huku ukitafakari hivi anaona million moja ni nyingi, wakati niliwahi kuharibu hiyo pesa Kwa masaa kadhaa na marafiki zangu.mxieeew

Kubwa zaidi ni kwamba mwanamke usipopambana ,ukawa huna biashara yeyote,wala kazi yeyote,ni rahisi kuingia mtego,na kuwa Mtumwa wa ngono.

Utat***wa na wanaume wangapi,si utachakaa?

Lakini na nyie wanaume muwe na tahadhari hivi unawezaje kujitolea kuanza kuzurula na mwanamke hujamuuliza kama ana mahusiano, mke wa mtu au la wewe tayari unaanza kujinadi na kugharamia mtu umemuona mtu siku hiyo mara unamtaka mtakuja kufa.

Wanawake wenzangu Uhuru ni kuwa na kazi yako, wanaume Wana manyanyaso sana,huwezi kutaka Kulala na mtu usiyempenda

Marry Diana, Church Girl.
 
Umewapa ushauri mzuri.
 
Kuna kale kauchungu ka ndani, hakaelezeki kanataka kufanana na uchoyo hivi ( siwezi kukaelezea ) ila ni ngumu sana kumpa mtu hela,.na hujui anaipeleka wapi na sio tu kupeleka nae anaweza akawa na uwezo wa kuitafuta hiyo hela pia alafu iweje umpe hela ? na mbaya zaidi unakuta ana hela ila kaamua kukuomba tena
 
Back
Top Bottom