Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
- #21
Nimekuelewa,hii nidhamu ninya juu sana wala si uchoyoKuna kale kauchungu ka ndani, hakaelezeki kanataka kufanana na uchoyo hivi ( siwezi kukaelezea ) ila ni ngumu sana kumpa mtu hela,.na hujui anaipeleka wapi na sio tu kupeleka nae anaweza akawa na uwezo wa kuitafuta hiyo hela pia alafu iweje umpe hela ? na mbaya zaidi unakuta ana hela ila kaamua kukuomba tena