Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

Nimekuelewa,hii nidhamu ninya juu sana wala si uchoyo
 
Huu ushauri ungewafaa sana wanawake wannjombe na sio wa jiji letu
 
Ubinadamu uko wapi
Tatizo liko wapi
Marry Diana uko wapi
 
Umenichekesha sana.inaonekana wamekutongoza wanaume wengi na wa kila aina.Mwanaume kamili lazima atamani mwanamke hasa akiwa mzuri
 
Utegemezi uliopitiliza huwa unatengeneza mazingira ya manyanyaso.

Mwanamke akiwa na uwezo wa kujigharamia chakula, usafiri na mahitaji yake ya msingi, ni rahisi kusema ndiyo au hapana kwa sababu ya kile anachotaka moyoni mwake.
 
Umemaliza huu ni ukweli usiopingika
 
Nadhani tupo tofauti kihisia,

Siwezi Kulala na mtu ambaye sijamwelewa huwa najiuliza mtu anayejiuza nawezaje,yaani aje mtu humfahamu kisha ukavue nguo,looh
Let say akija mtu usiyemfahamu akakupa pesa utachukua?
Umeongelea kibabu kukupa lift, unapandaje gari la mtu usiyemfahamu?
Unakubalije kulipiwa bill yako ya chakula wakati unajua umeenda pale na pesa zako na unaweza kujilipia mwenyewe?
Naomba majibu tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…