Mwanamke usikubali manyanyaso, tujitahidi kufanya kazi

Mfano ,mtu anakutongoza,anaonesha nia kabisa ya kukutaka na usumbufu wa hapa na pale, lakini siku ukimuomba pesa anaanza kuona hufai wewe ni Malaya.
Huo ni msamiati mkubwa sana kuna sehemu Nchi fulani ukiitwa Malaya ni km umeitwa Malkia au Mfalme kwenye lugha zinatofautiana
 
Sawa ,naelewa katika ukarimu na uungwana Mimi mwenye nishawapa watu hela siwajui na walipokea.

Pia nishapokea pesa na msaada mingi Tu sijawahi kudaiwa,iweje mtu mwingine msaada ageuze fursa.

Yaani unipe pesa nikatae,sijakuomba,umelazimisha,
Napokea vizuri tu na nakuacha
 
Nadhani tupo tofauti kihisia,

Siwezi Kulala na mtu ambaye sijamwelewa huwa najiuliza mtu anayejiuza nawezaje,yaani aje mtu humfahamu kisha ukavue nguo,looh
Hisia hua zinakuja ukishauona mkuuyege hata wewe unaweza ukampenda tu kijana kwa muonekano wa nje safi ila akienda chobix akachojoa boxer ukiona mazingira yake ya upenunu yalivyo unatamani kumwambia oya sikia hio ndonga yako ndogo sana km ya mtoto wa miezi miiwili sijaielewa tusifanye hio kitu yako sijaielewa ndio walivyo malafaya akivua akaiona ndonga hata km alikua hajaloa utelezi lazima uanze kujikusanya na si unajua haakunaga maandalizi ya muda mrefu maana muda ni pesa kwa hio
 
Upo tayari Kulala na mtu usiyempenda kisa tu Una njaa

ni swali gani hili unauliza? ni kweli huna jibu la hili swali?....kuna member huku jana tu kaazisha uzi amekaa na jamaa asiyempenda kwenye mahusiano kwa 12yrs kisa alipenda tu hela za jamaa, sasa jamaa amefulia alafu yeye amepata kazi anaanza kusema jamaa anamtesa...

 
Wewe katika mifano uliyotoa katika mada yako hukuwa na uhitaji wa mssada wowote. Mfano ulikuwa umefanya maamuzi ya kufanya matembezi ya jioni kwa miguu, unahitaji lift ya kibabu ya nini?
Ulienda restaurant mwenyewe ukiwa na pesa yako ili ulipe, huo msaada wa kulipiwa hukuwa nao.
Kumbuka unapopokea pia kuna kutoa. Kama hutaki usumbufu usipokee kabisa.
 
Oya naomba nipe link hio mkuu
 
W
Wanawake wa siku hizi wanaweza wakawa wanafanya kazi lakini bado ni tegemezi.
Yaani very hopeless being
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…