Mwanamke usipoachana nae kwa ugomvi mkali ni mtihani sana

Mwanamke usipoachana nae kwa ugomvi mkali ni mtihani sana

Aisee nimekuja kugundua wanawake ukiwaacha ki amani amani wao wanaona Bado hamjaachana, yaani mpaka mbondane muvuane nguo za ndani mpigane ndo wanaelewa kimewaka.

Tumeeachana na wadada kiamani ila mara zote nikifanya hivyo huwa wanajirudisha kujibembeleza na kutaka kukupa hata kama unayo mpya.
Nilichogundua Ili muachane vizuri ni vema mkadundana mangumi , mtoane ngeu maana wanawake ni vinganganizi

Naombeni ushauri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpe namba yake Mwanamke wako mpya ampe makavu live,akipewa makavu live na mwanamke mwenzake hapo hawezi kurudi tena maana wenyewe kwa wenyewe wanajuana.
 
Mbona Mimi nimekubali....kwan unataka unifanye nn kingine? Jirani nionee huruma bas....mi ni mwanamke anaejua nyenendo zote za mumewe afu hatikisiki ila anatikiswa na kutokuthaminiwa tu ......jirani ....kupigana siwez
Cheki unavyotia huruma... hahaha
 
Back
Top Bottom