Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Duuh! Hiyo ya mateke na magumi mara nyingi nayo inazaa visasi na maugomvi ambayo mwisho wa siku kila mmoja atajuta kumfahamu mwenzie.
Bora kuachana hiyo kipoa poa tu na sioni kama ukiona mtu anakufuatilia ukamkaushia sidhani kama ataendelea kukung'ang'ania.
Bora kuachana hiyo kipoa poa tu na sioni kama ukiona mtu anakufuatilia ukamkaushia sidhani kama ataendelea kukung'ang'ania.