Pesa zitakutoa nyege, zitakutoa upweke n.k. kuna watu hawana pesa ila wanaishi life bomba sana bila stress.pEsa ndo kila kitu usidanganywe
Kuna dada angu alishawah kutaman ndoa mpaka akawa anawapatia hela wanaume,mara anahangaika na wazeee,mara matapeli anayaleta mpaka nyumban kuyatambulisha
bAadae ilibid nimshauri aachane na hayo mambo atafute hela tu,pesa ndo kila kitu,mungu saidia baadae alifanikiwa ila sahv tena anataman kutoka kwenye ndoa
Huyo dada yako ni mjinga sana na anadhani akimpa mwanamme pesa ndo anampata. Hakuna mwanamme yeyote anayeweza ishi na mwanamke asiyekuwa na adabu, mjeuri, mkaidi, mwenye dharau eti kisa anampa hela.
Hao wanawake wanaojifanya wana pesa, nyege zao wanazimalizia massage na hawana raha yoyote katika maisha yao.
Acha kulinganisha mtu na vitu vya ajabu ajabu ambavyo ni karatasi.