Mwanamke, utakubali tubadilishane unipe MUMEO nani nikupe UTAJIRI WANGU?

Pesa zitakutoa nyege, zitakutoa upweke n.k. kuna watu hawana pesa ila wanaishi life bomba sana bila stress.

Huyo dada yako ni mjinga sana na anadhani akimpa mwanamme pesa ndo anampata. Hakuna mwanamme yeyote anayeweza ishi na mwanamke asiyekuwa na adabu, mjeuri, mkaidi, mwenye dharau eti kisa anampa hela.

Hao wanawake wanaojifanya wana pesa, nyege zao wanazimalizia massage na hawana raha yoyote katika maisha yao.

Acha kulinganisha mtu na vitu vya ajabu ajabu ambavyo ni karatasi.
 
Asante mkuu.
Umeongea ukwel ukwel.

Mim nishajiwekea kuwa mwanaume nitakayempa hela ni mume na hata figo akitaka atapata ila hawa wengine matapeli tu.
 
Kama genye watu wa kuzitoa zipo.
Halafu unaweza ukakosa ndoa ila mtu wa kutoana genye na kukutoa upweke akawepo.

Yes wapo hohehahe wenye furaha bila stress mpaka pale watakapopoyeza mtoto/mwenza kwa kukosa 500k tu ya matibabu au pale watakapotaman watoto wapate elimu bora ila uwezo hawana.
 
Point taken
 
Tuombe tu Mungu. Kuishi mwenyewe ni stress zisizo na mwisho. Hata kama utapata wa kukupa mbususa Ila utafika mahali utahitaji faraja. Yakiwa mengi ni heri uwe na pa kuegemea. Kuwa na WA kumwambia changamoto zako na faraja na matumaini yako ni amani mno. Mimi nitaoa. Ndio changamoto zipo ila namini Mungu atanipitisha nifike uzee mwema na mke na watoto tutakao pewa.
 
Niliwahi kumuacha mwanamke flani hivi kwa ujuaji wa kijinga kama huu.
Yaani kwa ufeminist huu, hakuna mwanaume mwenye anaweza akakuvumilia aiseee
Naomba u define u feminist na utoe mifano kwa ku quote maandish yalokuonesha kuwa mie feminist.

Ukifanya hivyo utakua umenisaidia nisiwe feminist kwa next man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…