Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu

Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.

Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms😅😅😂😂 nikakwepa

Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.

SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
Screenshot_20220625-140922.png
 
Usikute ni mwanafunzi huyo, Umri wake kwanza,unaweza kuta amefokewa na mama yake huko anataka aje kwako.

Kama hawezi tofautisha X na S
mkuu kuna ngazi nyingi za uanafunzi.

any way huyu ni mtu mzima na hasomi hii elimu yenye kifungo cha miaka 30😅😅

anajitambua vizuri sana sema sijawahi kumuweka maishani mwangu kama Mrs GR..
 
Kuna mambo mengine ili uweze kutatua lazima uhoji umri.
Kwa mada hiyo nyie bado ni watoto.
Huyo mwanamke atakuwa na umri 18- 22 maana kundi hili la wanawake wapo hot sana kwenye mapenzi ndiyo wanaanza. Atakuwa amemaliza kidato cha 4 hata mwaka haujapita.
Mwanaume atakuwa na umri 22-25 maana kundi hilo linawaza ngono kila muda.
Wote elimu zenu ni kidato cha 4. Angalia uhandishi wenu ni wakitoto. Kama ndiyo mpo kwenye huo umri, mtaachana muda siyo mrefu maana bado nyie ni watoto (hamjakomaa kiakili).
Ndoa ni maisha halisi na wala siyo maigizo.
Unataka kutafuta medium mkuu au average?
 
mkuu kuna ngazi nyingi za uanafunzi.

any way huyu ni mtu mzima na hasomi hii elimu yenye kifungo cha miaka 30[emoji28][emoji28]

anajitambua vizuri sana sema sijawahi kumuweka maishani mwangu kama Mrs GR..
Ndio ashindwe kutofautisha s na x, samahani lakini nachoona

Mosi, huyu bidada ni wa uswahilini huko na ukute anatumia kiswaswadu kabisa
Pili, Wenda kwao Hali ya maisha ni ngumu, kaona we una mwanga kidogo wa maisha basi ndio anataka aje ajibebishe kwako.Kumbuka wadada wanaweza kunusa mafanikio yako miaka 3 ijayo.

Haya yote yanaweza yakawa kweli au sikweli
 
Back
Top Bottom