Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Unataka kutafuta medium mkuu au average?Umri wenu tafadhali. Mwanamke ana umri gani na wewe?
Aidha mwanamke ni under 20 au ni zaidi ya 30 ila kma ni between 21-30 hawana ujiUmri wenu tafadhali. Mwanamke ana umri gani na wewe?
mkuu kuna ngazi nyingi za uanafunzi.Usikute ni mwanafunzi huyo, Umri wake kwanza,unaweza kuta amefokewa na mama yake huko anataka aje kwako.
Kama hawezi tofautisha X na S
kwahiyo tuwashe jiko kabisa au tusubirie kwanzaKuna samaki inaenda kunasa kwenye ndoano..π
Washa jiko weka na kikaango tia mafuta andaa chumvi pilipili na limau pembeni.kwahiyo tuwashe jiko kabisa au tusubirie kwanza
Unataka kutafuta medium mkuu au average?
Huyo mwanamke hata sio nyege, anataka hifadhi ππHakuna mwanamke anaweza vumilia njaa au shida karne hii, hapo nyege ndio zinamsukuma pindi nyege zikiisha ndio utajua maamuzi yake original ni yapi
Usisahau kuandaa na viungo shemela..!! Wengine 'chukuchuku' hatuwezikwahiyo tuwashe jiko kabisa au tusubirie kwanza
Sio rahisi,si umeona mtu anatumia x badala ya s
unafikiri huyo mtu anaweza kuamua maisha yake
Ndio ashindwe kutofautisha s na x, samahani lakini nachoonamkuu kuna ngazi nyingi za uanafunzi.
any way huyu ni mtu mzima na hasomi hii elimu yenye kifungo cha miaka 30[emoji28][emoji28]
anajitambua vizuri sana sema sijawahi kumuweka maishani mwangu kama Mrs GR..