Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Dogo heb tulia kwanza afu baada ya miezi sita ulete mrejesho,je hizo mbwembwe bado zipo?
 
Huwajui wanawake wewe, kikubwa ishi nae kwa akili tu
 
Anajikuta anajua sana
 
Na akikubadilikia ulete mrejesho japo hatuombi mfikie huko. Nawatakia maisha mema yenye furaha na uvumilivu.
 
Nafikiri hii thread ndio kitu pekee kilichonifanya nicheke kwa siku ya leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji706]
 
Nafikiri hii thread ndio kitu pekee kilichonifanya nicheke kwa siku ya leo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji706]
Endelea kucheka mkuu
nishajenga familia na huyu mtu
 
Nawaombea muwe hivyo hivyo..
asante mkuu kwa kuniombea mema.
Binti wa watu kwa sasa ni mjamzito, mwakani tu ntaitwa Baba naniiπŸ™πŸ™
Jana alikua anaumwa umwa, leo nimempeleka hospital amepata huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…