Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

haujataja umri ila umri zenu ni below 25, sikia uyo dogo yupo siriasi anaweza chukua maamuzi yoyote , kuna kisichana kimoja kilikuwa kinasoma fom 3 kilimeza vidonge mimba ikatoka nikamuuliza ukifa je akajibu sawa tu ila sitaki ii mimba iliingia bahat mbaya( alipewa na vijana wenzie)

kwaiyo uyo kama humtaki mpunguze speed kwanza ndo umuache ila ukimuacha gafla anajiua kweli, ila kama umemridhia oa

kumpunguza speed jaribu kupunguza mawasiliano akitext asubh jibu mchana akikupigia usipokee mpigie badae , mwite piga papuchi mpka genye zote zitoke, mtafutie kazi awe bize nawe uwe bize
huwa muda wa kusema atajiua hatoupata

wanawake ni nusu wenda wazim wakiamua lao hufanya
 
Daaaah pendo ni demu wangu yuko Mwanza mwandiko wake huo kabisa, alafu swaga zilezile
 
Huwa anakucheki akiwa katumia kileo, ama lah huwa anakua na nyege mshindo.
Au sio pisi kali na hajwahi kupewa ahadi ya ndoa na wewe huenda una muelekeo huo na ni mtu ambae age imeenda sana..

Yote kwa yote sikushauri umuoe hasa kama huna kitu.

Pole inadvance.
 
mkuu mawasiliano nimepunguza kwa leo tuila naona ndio kama nakoleza moto.


Kuhusu wachumba;
mpaka sasa kaniambia wameenda wachumba watano kutoka Arusha, shinyanga na Mwanza. Kawakataa. Nimeongea hadi na mama Yake nae kakubali.

sasa mkuu sijui kama ni bahati ama nasukumiwa shida, mpaka sasa nawaza.

BINTI KANIAMBIA MWENYEWE ANANIPENDA, NA ANATAKA NIMUOE.

nilimuona mwaka jana akiwa kidato cha 4, nikamwambia nampenda na nitamsubiri akimaliza shule nimuoe.

akakataa kata kata na kudai ana malengo yake na kama ni kuolewa ni after 4 yearsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

niliondoka hapo na sikuacha mawasiliano, sasa ndio nashangaa ananiwashia moto
 
🀣🀣@mzabzab unamwonea kamrudia Allah
 
mkuu kuna ngazi nyingi za uanafunzi.

any way huyu ni mtu mzima na hasomi hii elimu yenye kifungo cha miaka 30[emoji28][emoji28]

anajitambua vizuri sana sema sijawahi kumuweka maishani mwangu kama Mrs GR..
Xaxa wewe umeamuaje,unaoa au auoi??

Now ni mwendo wa kugandana xi mnaxema hamuoi xaxa mtaoa
 
Vijana wanataka kulamba asali waacheni jmn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…