heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
haujataja umri ila umri zenu ni below 25, sikia uyo dogo yupo siriasi anaweza chukua maamuzi yoyote , kuna kisichana kimoja kilikuwa kinasoma fom 3 kilimeza vidonge mimba ikatoka nikamuuliza ukifa je akajibu sawa tu ila sitaki ii mimba iliingia bahat mbaya( alipewa na vijana wenzie)
kwaiyo uyo kama humtaki mpunguze speed kwanza ndo umuache ila ukimuacha gafla anajiua kweli, ila kama umemridhia oa
kumpunguza speed jaribu kupunguza mawasiliano akitext asubh jibu mchana akikupigia usipokee mpigie badae , mwite piga papuchi mpka genye zote zitoke, mtafutie kazi awe bize nawe uwe bize
huwa muda wa kusema atajiua hatoupata
wanawake ni nusu wenda wazim wakiamua lao hufanya