vanmedy
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 2,701
- 1,406
Huyo mwanamke lazima awe wa ajabu, kwa huo mtindo wa hizo "xxx" zake sure thing ni certified kichwa panzi... ingia mkenge sasa.. unless wewe nawe ni certified ..... ... yani mtu makini aanze kuhofia kukubaliwa na ndugu wa mume!Yuko radhi kufa kwa ajili yangu
Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.
Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nikakwepa
Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.
SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
Vipi, ana tattoo ngapi kwanza?