Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

haujataja umri ila umri zenu ni below 25, sikia uyo dogo yupo siriasi anaweza chukua maamuzi yoyote , kuna kisichana kimoja kilikuwa kinasoma fom 3 kilimeza vidonge mimba ikatoka nikamuuliza ukifa je akajibu sawa tu ila sitaki ii mimba iliingia bahat mbaya( alipewa na vijana wenzie)

kwaiyo uyo kama humtaki mpunguze speed kwanza ndo umuache ila ukimuacha gafla anajiua kweli, ila kama umemridhia oa

kumpunguza speed
 
mkuu mawasiliano nimepunguza kwa leo tuila naona ndio kama nakoleza moto.

View attachment 2271916
Kuhusu wachumba;
mpaka sasa kaniambia wameenda wachumba watano kutoka Arusha, shinyanga na Mwanza. Kawakataa. Nimeongea hadi na mama Yake nae kakubali.

sasa mkuu sijui kama ni bahati ama nasukumiwa shida, mpaka sasa nawaza.

BINTI KANIAMBIA MWENYEWE ANANIPENDA, NA ANATAKA NIMUOE.

nilimuona mwaka jana akiwa kidato cha 4, nikamwambia nampenda na nitamsubiri akimaliza shule nimuoe.

akakataa kata kata na kudai ana malengo yake na kama ni kuolewa ni after 4 years😂😂😅😅😅

niliondoka hapo na sikuacha mawasiliano, sasa ndio nashangaa ananiwashia moto
hahahaa embu mcheki hana mimba!? je bikra anayo? kama bikra ipo mchukue kama haipo punguza pupa , uyo akili za utoto zina msumbua niamini mimi
 
Dogo amka mapema huyo mwanamke ana maneno matam Sana mkishazoeana na kupata mafanikio ya kimaisha hayo maneno matam yatageuka ya masimango na laana
TAFUTA pesa mwanamke anahtaj matunzo tu Linda heshima yako na ndoto zako achana nae huyo pasua kichwa atakupelekesha balaaa
 
Huyo dogo muhimize asome, jiepushe pia 30yrs behind the bars mkuu, mtu yeyote anayetumia "x" ni mtoto na inakera kama ana kithembe vile😂. Ebu Muache mtoto asome
 
Kwanza ana umri gani tuanzie hapo ?

Mimi nikishaona mtu anaandika Xaxa badala ya sasa , bx au baxi badala ya basi it's a turn off ! yaani hapo inakua nishampima akili yake na kuona ikoje hawa khoi khoi generation ni bure kabisa .
Mimi hata sisomi messege yenyewe, ni kuthihirisha ujinga wa mtu
 
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu

Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.

Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms😅😅😂😂 nikakwepa

Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.

SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
Mwenye kuasisi ndo ni mwanaume na sio mwanamke, ukiamua kwa kusikiliza hizo porojo zake umeisha.Maisha ya ndoa sio mchezo bwana mdogo.Usimpe majibu magumu endelea kumbembeleza ukimuomba awe na subira huku ukitafuna kizazi kwa mwendo wa vunja chaga na siku moja jifanye una huzuni nzito na umweleze umefukuzwa kazi na kama ni mjasiriamali mwambie umetapeliwa hela nyingi, halafu umsikilize anachoongea nikupe mtihani mwingine
 
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu

Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.

Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nikakwepa

Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.

SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
Mkuu umenichekesha sana, watoto kama Hawa wamepita sana Kwenye maisha yangu, Nilikua na Mmoja Alikua ananitumia Hadi pesa Kila Mwezi, Nguo ananinunulia. Hata nikimwambia hapana hasikii lakini mwisho wa Siku Nilikuja kuachana Nae Kwasababu zangu binafsi[emoji23][emoji23] tena tuliachana Instagram maana nilimblock namba zake
 
Huyo hata secondary hajafikia[emoji23]c, s hawez tofautisha vijana wa sikuhz hovyo kabisa
 
Kuna mambo mengine ili uweze kutatua lazima uhoji umri.
Kwa mada hiyo nyie bado ni watoto.
Huyo mwanamke atakuwa na umri 18- 22 maana kundi hili la wanawake wapo hot sana kwenye mapenzi ndiyo wanaanza. Atakuwa amemaliza kidato cha 4 hata mwaka haujapita.
Mwanaume atakuwa na umri 22-25 maana kundi hilo linawaza ngono kila muda.
Wote elimu zenu ni kidato cha 4. Angalia uhandishi wenu ni wakitoto. Kama ndiyo mpo kwenye huo umri, mtaachana muda siyo mrefu maana bado nyie ni watoto (hamjakomaa kiakili).
Ndoa ni maisha halisi na wala siyo maigizo.
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Ngoja likukute Jambo shauri yako..
Angalia tu asikule zile 3m kasoro..mwezi December sii mbali😂😂
 
Yuko radhi kufa kwa ajili yangu

Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.

Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms😅😅😂😂 nikakwepa

Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.

SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
Utoto unawasumbua.Mtaelewa tu baada ya miaka mitatu baadaye.
 
sina namna ya ku control uandishi wake mkuu ila nafurahi kuona nina mwanamke mwepesi kusema samahani..😅😅😅
View attachment 2271617
ashakataa kabisa nisimuite jina lake

ashawaambia wazazi wake kwamba namuoa na sina mahari😂😂😂
Mzee huyo kaona biashara yako ya kukopesha inalipa. Na hiyo biashara inafanyika uswahilini ndio wateja wapo, huo mtego kashaona pa kujishikiza akwepe kula miguu ya miguu ale kuku kamili. Kimbia
 
Back
Top Bottom