Get Rich Ushauri wangu kwako ni kwamba usisikilize maneno ya humu Sana yanaweza kukupoteza wabongo ni mabingwa wakukatishana tamaa na majungu huyo manzi inaonesha anakupenda haswa sio kwamba anafanya maigizo usimjaji kwa muandiko kabisa hayo mengine ni kwasababu tu umri wake kwahiyo anavyozidi kukuwa hata akili itakuwa Cha msingi na muhimu muoe, hakuna jambo zuri kama ukiingia kwenye ndoa na mwanamke anayekupenda vitu vingine huyo dada atajifunza taratibu taratibu na uwe Mwalimu mzuri kwake mpende na muelimishe baadhi ya mambo muepushe na marafiki ambao sio wazuri wanawake wa aina hii ni rahisi kubadilishwa tabia so kuwa Makini kwenye Hili.Mwanamke kama huyu Unaweza kummudu tofauti na ukutane na wanawake walioshindikana