cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Kweli kabisa hachelewi kwenda kuungana na adui aje akushambulieNever trust a woman hata akikwambia Yuko tayar kufa kwa ajili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa hachelewi kwenda kuungana na adui aje akushambulieNever trust a woman hata akikwambia Yuko tayar kufa kwa ajili yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unayajua mapenz weuweThis is a joke. Jamani huyu sikio la kufa hatawaelewa. Hapo hata mumshauri vipi mbususu ishampoteza. Chamsingi mumuombee (in magu'z voice)
Actually mkuu nyie mmekutana pipa na mfuniko. Fanya utakachopenda
Amini mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa kichwa chake cha chini kimeshashika hatamu dhidi ya kichwa cha juu..
Huyu hatuwez kumshauri tena, ameshapoteza kumbukumbu.
Hongera boss kwa kufanikiwa kumpata mwandani wako.Kweli hapa nahisi kuna ukweli ndani yake maana hili penzi jipya limekuja kama mafuriko.
kanicheki tarehe 17/6... baada ya siku 2 ananiambia wazi anataka kuolewa tena hata bila mahari, yuko tayari.
nimechoka aisee maana hio pressure sio ya nchi hii😅😅😅
ila nampenda maana nimemtia majaribuni ndani ya muda mfupi nimeona yuko strong
(hatakama tutalala njaa nitashiba kwa upendo wako ,nikifika kwako nitashiba bila kula)Yuko radhi kufa kwa ajili yangu
Yuko radhi kuondoka kwao kuja kwangu hata bila mahari, aolewe tu na mimi.
Hajaniomba hata mia, japo aliwahi kuonesha symptoms[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23] nikakwepa
Nishamwambia sina maisha ya kumfanya aishi katika ndoa ila anataka tu aje hata tukilala chini ya mti, poa tu.
SIKUJIPANGA KUOA ILA ITANIBIDI..
View attachment 2271569
(hatakama tutalala njaa nitashiba kwa upendo wako ,nikifika kwako nitashiba bila kula)
Alafu unataka kuniambia huyu ni mwanamke mwenye kujielewa na maisha huyu ni mtoto kabsa yaan namaanisha lasaba B
Foolish age + nyege zinampeleka speed ya super sonic 5G+
Hakuna kitu hapo kumbavu kabsa
Mkuu mbona mm na wewe tunapitia changamoto sawa katika milango tofauti?(hatakama tutalala njaa nitashiba kwa upendo wako ,nikifika kwako nitashiba bila kula)
Alafu unataka kuniambia huyu ni mwanamke mwenye kujielewa na maisha huyu ni mtoto kabsa yaan namaanisha lasaba B
Foolish age + nyege zinampeleka speed ya super sonic 5G+
Hakuna kitu hapo kumbavu kabsa
Aaah anaandika xaxaxixixoxoxuxu....... Kimbia kimbia kimbia..... Au nmuite sheikh akusomee kisomo
Kuna dogo yupo UDOM kuna siku ameandikia meseji na hizo xx nilimwambia kama hawezi kuniandikia meseji zinazoeleweka basi asinitimie meseji tena. Toka siku hiyo sijawahi kuona xx tena kwenye meseji zake.
Hayo matumizi ya X tu yanadhihirisha n mwanafunzi huyo,Usikute ni mwanafunzi huyo, Umri wake kwanza,unaweza kuta amefokewa na mama yake huko anataka aje kwako.
Kama hawezi tofautisha X na S
[emoji23][emoji23][emoji23] Sawa mkuu lakini tafuta mwanamke anaejielewa yule wangu mi anajielewa ndomanaMkuu mbona mm na wewe tunapitia changamoto sawa katika milango tofauti?
wewe ulileta uzi juu ya mwanamke wako alieachika kwa jamaa huko na mambo kibao
Naomba ushauri, naogopa kumuoa huyu mwanamke
Habari wanajamii, Naimani wote niwazima mungu nimwema anaendelea kutupigania. Niende moja kwa moja kwenye jambo husika. Kiukweli niko kwenye njia Panda sielewi nifanyeje. Niko kwenye mahusiano na mwanamke mmoja hivi kiukweli tunapenda sana lakini tulipo ngia kwenye mahusiano hakuna kitu...www.jamiiforums.com
heri yangu huyu ana foolish age ambaye kila mwanadamu alipitia[emoji28][emoji28][emoji28]
Kichaa huyo achana nae
Mwanamke mwezio anafundishika vizuri tu, nimemwelimisha juu ya x na s, kabadilika haraka sanaYaani I hate this type of uandishi,mtu anaendika hv namshusha P
Ni kweli natumia line 2 zote za Tigo.Simu yako ni line mbili za mtandao mmoja wa tigo, kwenye screenshot inajionesha, sijui hiyo imekaaje kwa wadau wengine, ila kwangu mimi binafsi ni red flag.
Mwanamke yuko tayari kufa toka siku ya kwanza alipokubebea mimba yako.Never trust a woman hata akikwambia Yuko tayar kufa kwa ajili yako
Ni either yupo sekondari au anakuandaa kukupiga na kitu kizito mno
Both negative😅😅😅Ni either yupo sekondari au anakuandaa kukupiga na kitu kizito mno
Mkuu hii ilikuwa chumvi tu lakini huyo dada na uhakika maisha yao hayako vyema anatafuta pa kupumuliaFafanua kidogo mkuu