Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mkuu wengi wenye tabia hii wanatafuta nani wa kupewa mimba iliokataliwa na muhusika.
 
Hakuna mapenzi ya kweli hapo kaka huyo kutakuwa na sababu tofauti na mapenzi... Inawezekana amechoka kukaa kwao na anataka awe free. So kuwa makini huyo anachotaka ni kutoka tu kwao na sio kuolewa
Kweli hapa nahisi kuna ukweli ndani yake maana hili penzi jipya limekuja kama mafuriko.

kanicheki tarehe 17/6... baada ya siku 2 ananiambia wazi anataka kuolewa tena hata bila mahari, yuko tayari.

nimechoka aisee maana hio pressure sio ya nchi hii😅😅😅

ila nampenda maana nimemtia majaribuni ndani ya muda mfupi nimeona yuko strong
 
Aisee...huyo ni mtoto. Anaonesha anakupenda. Ila kwa jinsi ya maelezo yako kuwa alikukataa kwanza na sasa anataka kuolewa kwa speed hii. Nashauri kama umempenda kuwa naye ktk mahusiano huku ukimchunguza. Kwa umri wake, na kama wewe umemzidi kiasi basi ni rahisi kujua tabia yake halisi. Unadishi wake ni umri na siyo tabia. Mawazo yake ya kitoto ni mazingira take na umri wake. Anaweza kuwa anakupenda kweli Ila hajajua ni style ipi ya kuonesha huo upendo wa dhati ambao watu wa JF wanaweza kuupima na kukupa GO AHEAD YA KUMUOA.

Watu wengi humu wanatamani kuwa ktk umri wako na kuanza mahusiano ya ndoa kama hivyo sema ndo hivyo tena....

Unaweza kuta watu zaidi ya 100 hawana wa kuwaambia maneno kama hayo hata kama ya uongo au ya kitoto.

Ushauri wangu, kama hamjapishana saaana kiumri anzisha mahusiano ya dhumuni la kumuoa. Lakini usiharakishe kumuoa au kuishi naye kwa sasa. Hii itakupa muda wa kumjua vizuri tabia, mihemko, mwenendo, background etc.

Halafu umesema amempigia mama ako Mdogo? Ina maana familia zinajuana?
 
Kwa hiyo unataka kusema huyu mwanamke ananibaka?

wivu tu na hatuachani
Mipasho tena[emoji23]

We unapenda vya bure,utamuachaje kwa mfano??

Ulishasema haujajipanga kuoa,na bado unajipanga hivyo unamaanisha huyu mwanamke sio wa ndoto yako,

Enjoy
 
Wewe dogo unafikiri ndoa ni kuandika sms kama hizo!!

Ndoa ni maisha halisi hakipo hakipo kweli na mnalala njaa

Karne ya leo mwanamke alale njaa!!

Hapo kuna mawili mosi amegombezwa na wazazi/walezi wake anatatafuta pa kujiegesha pili ana mimba na mwenye nayo kaikataa kaamua kukumbuka waliowahi kuonesha nia kwake na wewe ndo ameona akupe.

Akili akili mtu wangu.
 
Kweli hapa nahisi kuna ukweli ndani yake maana hili penzi jipya limekuja kama mafuriko.

kanicheki tarehe 17/6... baada ya siku 2 ananiambia wazi anataka kuolewa tena hata bila mahari, yuko tayari.

nimechoka aisee maana hio pressure sio ya nchi hii😅😅😅

ila nampenda maana nimemtia majaribuni ndani ya muda mfupi nimeona yuko strong
Hilo tukio limeshawahi kunikuta na nilikuja kujua baadae kuwa kumbe dem alikuwa amechoka kukaa kwao,,,alikuwa ananyanyaswa na ndugu zake na hana mama wala baba alikuwa anakuwa anakaa na bibi na wajomba zake so akaona bora ahame akaishi kwake. So mtu wa namna hii huwa anachotaka ni kuolewa tu haijalishi mtu na mtu gani cha msingi aondokane na madhila anayopitia. So mwanamme akiwa katika hali hiyo hawezi kuwa na maamuzi sahihi. So jipe muda umchunguze.
 
Wewe dogo unafikiri ndoa ni kuandika sms kama hizo!!

Ndoa ni maisha halisi hakipo hakipo kweli na mnalala njaa

Karne ya leo mwanamke alale njaa!!

Hapo kuna mawili mosi amegombezwa na wazazi/walezi wake anatatafuta pa kujiegesha pili ana mimba na mwenye nayo kaikataa kaamua kukumbuka waliowahi kuonesha nia kwake na wewe ndo ameona akupe.

Akili akili mtu wangu.
Case closed
 
mwambie mwambie huku kuna maisha baada ya upendo wa nyege[emoji28][emoji28]
 
Never trust a woman hata akikwambia Yuko tayar kufa kwa ajili yako
 
Nikishaina mwanamke anandika x basi hapo hamu yote inaniiishaga hana tofauti na wasichana wa vigodoro
 
Back
Top Bottom