Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

haujataja umri ila umri zenu ni below 25, sikia uyo dogo yupo siriasi anaweza chukua maamuzi yoyote , kuna kisichana kimoja kilikuwa kinasoma fom 3 kilimeza vidonge mimba ikatoka nikamuuliza ukifa je akajibu sawa tu ila sitaki ii mimba iliingia bahat mbaya( alipewa na vijana wenzie)

kwaiyo uyo kama humtaki mpunguze speed kwanza ndo umuache ila ukimuacha gafla anajiua kweli, ila kama umemridhia oa

kumpunguza speed
 
hahahaa embu mcheki hana mimba!? je bikra anayo? kama bikra ipo mchukue kama haipo punguza pupa , uyo akili za utoto zina msumbua niamini mimi
 
Dogo amka mapema huyo mwanamke ana maneno matam Sana mkishazoeana na kupata mafanikio ya kimaisha hayo maneno matam yatageuka ya masimango na laana
TAFUTA pesa mwanamke anahtaj matunzo tu Linda heshima yako na ndoto zako achana nae huyo pasua kichwa atakupelekesha balaaa
 
Huyo dogo muhimize asome, jiepushe pia 30yrs behind the bars mkuu, mtu yeyote anayetumia "x" ni mtoto na inakera kama ana kithembe vileπŸ˜‚. Ebu Muache mtoto asome
 
Kwanza ana umri gani tuanzie hapo ?

Mimi nikishaona mtu anaandika Xaxa badala ya sasa , bx au baxi badala ya basi it's a turn off ! yaani hapo inakua nishampima akili yake na kuona ikoje hawa khoi khoi generation ni bure kabisa .
Mimi hata sisomi messege yenyewe, ni kuthihirisha ujinga wa mtu
 
Mwenye kuasisi ndo ni mwanaume na sio mwanamke, ukiamua kwa kusikiliza hizo porojo zake umeisha.Maisha ya ndoa sio mchezo bwana mdogo.Usimpe majibu magumu endelea kumbembeleza ukimuomba awe na subira huku ukitafuna kizazi kwa mwendo wa vunja chaga na siku moja jifanye una huzuni nzito na umweleze umefukuzwa kazi na kama ni mjasiriamali mwambie umetapeliwa hela nyingi, halafu umsikilize anachoongea nikupe mtihani mwingine
 
Mkuu umenichekesha sana, watoto kama Hawa wamepita sana Kwenye maisha yangu, Nilikua na Mmoja Alikua ananitumia Hadi pesa Kila Mwezi, Nguo ananinunulia. Hata nikimwambia hapana hasikii lakini mwisho wa Siku Nilikuja kuachana Nae Kwasababu zangu binafsi[emoji23][emoji23] tena tuliachana Instagram maana nilimblock namba zake
 
Huyo hata secondary hajafikia[emoji23]c, s hawez tofautisha vijana wa sikuhz hovyo kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Ngoja likukute Jambo shauri yako..
Angalia tu asikule zile 3m kasoro..mwezi December sii mbaliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utoto unawasumbua.Mtaelewa tu baada ya miaka mitatu baadaye.
 
Mzee huyo kaona biashara yako ya kukopesha inalipa. Na hiyo biashara inafanyika uswahilini ndio wateja wapo, huo mtego kashaona pa kujishikiza akwepe kula miguu ya miguu ale kuku kamili. Kimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…