Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,259
- 2,483
- Thread starter
- #101
na single father pia.Huoni kama utaongeza idadi ya Single Mother?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na single father pia.Huoni kama utaongeza idadi ya Single Mother?
DNAWewe ungekuwa mkiristo wa kweli usingeleta uzi huu hapa. Unapoema Awe mkiristo wakati unajua kabisa wakristo uzinzi hauna nafasi. Ninakushauri mrudie Mungu maana hayo ya kusema unataka mwanamke wa kukuzalia mtoto yatako cost huko mbele ya safari. 40yrs is nothing you are jut a young boy. Ninakushauri tu tafuta mdada mwenye kumcha Mungu na uoe ndilo suluhisho. Lakini kutafuta mtu wa kuzaa naye hilo sikushauri saa nyingine utabambikiwa mtoto ambaye siyo wa kwako.
Naona umenihukumu, lakin nashukuru kwa ushauri.Wewe ungekuwa mkiristo wa kweli usingeleta uzi huu hapa. Unapoema Awe mkiristo wakati unajua kabisa wakristo uzinzi hauna nafasi. Ninakushauri mrudie Mungu maana hayo ya kusema unataka mwanamke wa kukuzalia mtoto yatako cost huko mbele ya safari. 40yrs is nothing you are jut a young boy. Ninakushauri tu tafuta mdada mwenye kumcha Mungu na uoe ndilo suluhisho. Lakini kutafuta mtu wa kuzaa naye hilo sikushauri saa nyingine utabambikiwa mtoto ambaye siyo wa kwako.
Single Father yeye huwa haandamwi ila Single Mother ndiyo huandamwa.na single father pia.
Hukuwa na Nia.....unaweka masharti kabisa.Nilisema wamjengee kwanza huyo mtoto au watoto wakakimbia
Masharti ndo nia yenyewe...Mimi ni mzazi najua stress za nyumba ya Kupanga na mimba....mtoto anatamani kuku,hujarusha mguu mwenyenyumba nae mlangoni kudai Kodi ..unaanza kulia🙄🙌Hukuwa na Nia.....unaweka masharti kabisa.
😂😂😂😂Mtoto tunamchukuwaje besty....sie tunataka unatuzalia mtoto unakaa nae ila mie nakuhudumia vizuri na mtoto pia na pia nikipata genye nakuja tunagegedana kwa raha na nikitaka kulala hapo nalala.
Hiyo siyo sawa mkuu, mana unakuwa umemvizia mtu (taking advantage), siku zote atabakiaga kukulaumu. Bora mkubaliane kabisa, afu msitumie neno baya (incubator) kwani mtoto anakuwa wetu wote wawiliKwa lengo lako hutompata Mtu wa kumfanya incubator,Bora ungefanya kimya kimya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaanza kulia kwanini sasa, au nawewe unakuwa umeanza kuwa mtotoMasharti ndo nia yenyewe...Mimi ni mzazi najua stress za nyumba ya Kupanga na mimba....mtoto anatamani kuku,hujarusha mguu mwenyenyumba nae mlangoni kudai Kodi ..unaanza kulia[emoji849][emoji119]
Kama huna mipango madhubuti linazama.Kumbe na wanaume inafika wakati jua linazama
Sema jua lao linazama kistarabu kama la mleta mada 😊
Miss natafuta ni kifaa cha hatari but nahisi kipo kibussnes zaidi.Si Miss Natafuta bado yupo yupo na yeye jua linataka kuzama? Mtafute hapa jukwaani!
🤣🤣onhoo,liacheni tumbo liitwe tumbo🙌[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaanza kulia kwanini sasa, au nawewe unakuwa umeanza kuwa mtoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]Kumbe na wanaume inafika wakati jua linazama
Sema jua lao linazama kistarabu kama la mleta mada [emoji4]
Utakapofika umri huu utagundua kumbe alikuwa kijana sana.... time will tell 😉We mzee unafeli! Ulikuwa wap mda wote huo? Hapo unatakiwa umjue tu mungu wako.[emoji1787]
Yaani kwa umri huo wa 40+ bado hutaki kuoa? Like seriously!?Kuna mmoja nilikuwa nimemjweka special kanikatalia katu katu so msako unaanza upya
Nioe ili nigundue nini?Yaani kwa umri huo wa 40+ bado hutaki kuoa? Like seriously!?