Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
Hata Ivo hati jina ni la mtoto au watoto but kwako nilishasita🤦Mie nipo tayari kumjenga mtoto ila hati linaandikwanjina la mtoto sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Ivo hati jina ni la mtoto au watoto but kwako nilishasita🤦Mie nipo tayari kumjenga mtoto ila hati linaandikwanjina la mtoto sio wewe
Kwa nini bby?Hata Ivo hati jina ni la mtoto au watoto but kwako nilishasita🤦
kumjengea mtoto hakuna tatizo dear, binafsi sipendi huyo mtoto aje aseme sikumpa mazingira mazuri kwa kadri nilivyojaliwa.Nilisema wamjengee kwanza huyo mtoto au watoto wakakimbia
Waachie ndugu zako.hili halina tatizo kabisa, ndo sababu ya kutafuta watoto pia, najiulizaga, hivi vitu navyotafuta, naamka mapema kufanya kazi kwa bidii, incase! vinabaki kwa nani?
Why love? Uje na ID Yako bas huenda nikakupa kitumbua chote uende nachoThank you love
kwanini unaiita sound?Hii sound kuna mtu atanasa..
Ndo maana wengi wamesema ni wewe umekuja kwa id mpya [emoji1787][emoji1787]Aisee ....wee ni pacha wangu nini? Mbona mawazo tunaendana?
Ndo maana wamesema ni wewe mwenyeweAisee ....wee ni pacha wangu nini? Mbona mawazo tunaendana?
🤣🤣🤣🤣🤣 Sio mie bwanaNdo maana wamesema ni wewe mwenyewe
Kama ilivyo binadam wengine, namimi ningependa siku niwe na wa(m)toto wangu. niwe proud nao kama wengineWaachie ndugu zako.
Naanza kuamini kidogo🤣🤣🤣🤣🤣 Sio mie bwana
Sitaweza dear, id yangu ipo connected na wengi sana, bora hii hii.Why love? Uje na ID Yako bas huenda nikakupa kitumbua chote uende nacho
🤣 🤣 🤣 mkuu chutama, plani imefeli🤣🤣🤣🤣🤣 Sio mie bwana
Plan imefeli kivipi mkuu. Sio mie huyo mbona mie tangazo langu nilishaliweka wiki iliyopita🤣 🤣 🤣 mkuu chutama, plani imefeli
Haya mkuu, kila la kheriKama ilivyo binadam wengine, namimi ningependa siku niwe na wa(m)toto wangu. niwe proud nao kama wengine
I know you knowKwa nini bby?
wakora munoHaya mkuu, kila la kheri
Aika mbe...wakora muno
wabheja sana
ndagha fijo
Asante
Thank you