Mwanamke wa kunipa mtoto tu

Mwanamke wa kunipa mtoto tu

Wewe ungekuwa mkiristo wa kweli usingeleta uzi huu hapa. Unapoema Awe mkiristo wakati unajua kabisa wakristo uzinzi hauna nafasi. Ninakushauri mrudie Mungu maana hayo ya kusema unataka mwanamke wa kukuzalia mtoto yatako cost huko mbele ya safari. 40yrs is nothing you are jut a young boy. Ninakushauri tu tafuta mdada mwenye kumcha Mungu na uoe ndilo suluhisho. Lakini kutafuta mtu wa kuzaa naye hilo sikushauri saa nyingine utabambikiwa mtoto ambaye siyo wa kwako.
 
Back
Top Bottom