Mwanamke wa kunipa mtoto tu

DNA
 
Naona umenihukumu, lakin nashukuru kwa ushauri.
 
Masharti ndo nia yenyewe...Mimi ni mzazi najua stress za nyumba ya Kupanga na mimba....mtoto anatamani kuku,hujarusha mguu mwenyenyumba nae mlangoni kudai Kodi ..unaanza kulia[emoji849][emoji119]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaanza kulia kwanini sasa, au nawewe unakuwa umeanza kuwa mtoto
 
Kumbe na wanaume inafika wakati jua linazama

Sema jua lao linazama kistarabu kama la mleta mada 😊
Kama huna mipango madhubuti linazama.
ama ndio utaishia kwa kina mwajuma ndala ndefu. Ambao nao wataishia kukuita nyonyo
 
We mzee unafeli! Ulikuwa wap mda wote huo? Hapo unatakiwa umjue tu mungu wako.[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…