Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,377
Mimi ni mwanaume wa umri wa ‘mid 30's’, nimeoa na naishi na mke wangu. Kutokana na changamoto za ndoa nimelazimika kutafuta Msaidizi wa mapenzi kwa mke wangu.
Hivyo basi nahitaji Mwanamke wa kuwa Mchepuko wangu rasmi na wa kudumu.
*Awe na miaka kuanzia 20 -40.
*Awe na uwezo wa kujitegemea. (sio kigezo kikuu)
*Awe mzuri wa sura na Umbo (mrembo)(kigezo kikuu)
*Akiwa mikoa ya Lindi na Mtwara itapendeza.
NB: Nitamuhudumia kwa kila kitu kwenye mahitaji ya Msingi(basic needs)
Karibuni PM ipo wazi