Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Hoja yako n nzur lakin haifanyi kazi katika uhalisia, kwasababu ipo against nature.

Mfumo ulisha simikwa, kwamba mwanamke ata zaa kwa uchungu na tamaa yake itakua kwa mumewe naye atamtawala.

Vyovyote vile mwanamme atabaki kua kichwa, mwanamke n msaidizi anapaswa kujazia palipo pungua kwa mmewe, kuheshimu, kutii na kunyenyekea.
 
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.

mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.

2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.

3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.

Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.

4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.

Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b
Maelezo ya ovyo sana haya....nimejikuta nakasirika tu kusoma uzi huu wa kipuuzi
 
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.

mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.

2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.

3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.

Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.

4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.

Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Tafuta mwanamke wa kawaida OA

Achana na wanawake wajuaji,wanaharakati la sivyo utakufa mapema sana 🤣

Wanawake wanaoolewa siku hizi ni wale wakawaida kabisa ambao huwezi dhania,wala sio wazuri sana kiivo
 
Huu uzi unamjibu member Kamgomoli: Kwenye uzi Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Tunapaswa kuelewa maisha yamebadilika na yanatubadilisha, tutake tusitake. Tunapoweka faida za kuoa mwanamke msomi na asiye msomi tujue tunaelezea hizo sifa tukiwa katika era ipi.

mfano:
1. Mwanamke msomi mwenye kazi hatakuheshimu. Hapa itategemea unaishi naye kwa namna gani. Wanawake wa sasa sio wa Miaka ya 90 awe ana kazi asiwe na kazi hawataki kuburuzwa. hapa ni mwanaume kujua kuwa mtemi imeshapitwa na wakati ....ongoza Familia kidemokrasia. Ni afadhali kuwa na mwanamke msomi asiyeniheshimu kuliko niwe na mwanamke asiyemsomi anayeniheshimu kwasababu namzidi kila kitu.

2. Ukirudi kutoka kazini haupokelewi vizuri. What for? hili nalo na kulilia! ingia ndani salimiana ndani kwa ndani sio lazima mwanamke akukimbilie kama mbwa. Amechoka kumbuka naye Ametoka kazini.

3. Hatapata muda wa kuwatunza watoto na kuijali Familia. Wanaume tuwe wakweli kwenye hili. Ni nani anataka mwanae wa kike akawe mama wa nyumbani? be honest... Nataka mwanangu wa kike awe mtu kwenye watu..sio Mwanamke wa kukimbilia mijanaume iktoka kazini.

Wanawake wana ndoto zao kama ilivyo kwetu...wanahitaji kufanya kazi au kumiliki biashara zao.

4. Tendo la Ndoa itakuwa ishu. Hapa wote mtakuwa mnachoka..ila bado unanafasi kubwa ya kurekebisha hili..mtoe wife out weekend sehemu tofautitofauti...utaona tofauti. Sex sio maji kila siku mnadandiana.

Kwa ufupi nasema Dunia imebadilika na tuwe wakweli kulikubali hili na litatusaidia namna ya kuishi na mwanamke wa sasa.[/b]
Kiufupi mleta uzi kakubali waziwazi kuwa yeye ni meanaume wa daraja la pili ( under dog ) na sio giant type of really man .
 
Ndio hapo sasa wanapenda kweli kupelekesha wanawake
Sio kupelekesha, kwahiyo Mwanamke asinifulie, asinitengee maji ya kuoga...kwani akifanya hivyo ni Utumwa au jukumu lake na ni sehemu ya kuonesha Mapenzi na kujali

Tunapoambiwa Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume unafikiri ni msaidizi katika Ushauri tu?
 
Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Si amepata Msaidizi? Hayupo tena peke yake.
 
Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Inawezekana wewe ndio unahisi kuolewa ni Utumwa, yeye hajalalamika na anaona poa tu. Huwezi jua Mume wake ana majukumu mazito kiasi gani.
 
Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi 😂😂
Kwanza kuna mambo ni ya kipuuzi, mikono anayo, bafu analijua sasa apelekewe ili iweje.
Ukoloni wa kijinga tu.
 
Makasiriko makali sana, tulieni na sisi tufanye kazi shida iko wapi.
Mnataka kutuburuza kama vile ni watumwa wenu!?? yaani kuna mijanaume inataka hata ile pumzi anayotoa basi ipumuliwe na mke wake ila ndo vile tena haiwezekani.
Hamna demokrasia mpumbavu ndo anaamini demokrasia ni vip kwamba haki sawa na hao wake zenu sikieni ni mizigo kazini acheni ujinga hiyo ni asili ya maumbile

Assume kitengo fulani kinatoa huduma muda wote pameajirwa wanawake Kama maofficers wote wamejifungua kufidia akachukuliwa dogo wa intership na WA field wake sasa WA field kasepa

Huwezi kuleta uzungu mwingi mbele ya uhalisia mwanamke ndo maumbile yake ndoto aendelee kulala Kuna nafasi huwezi kumuweka

Umeongea ujinga mtupu hao Marekani walifanya kila njia raisi asiwe wa kike unajua kwa nn
 
Makasiriko makali sana, tulieni na sisi tufanye kazi shida iko wapi.
Mnataka kutuburuza kama vile ni watumwa wenu!?? yaani kuna mijanaume inataka hata ile pumzi anayotoa basi ipumuliwe na mke wake ila ndo vile tena haiwezekani.
Nasema ukweli 😅😅😅😅
 
Usipo mujeshimu mumeo nakuambia UTANYOOKA WEWE
 
Back
Top Bottom