Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Taratibu mtazoea. PoleniHakuna kitu kinanikera kama mmekaa sitting room anakuja house girl eti "chakula tayari, karibuni chakula"
Wife sasa " sauwaaa dadakeee" Duh hatari kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mtazoea. PoleniHakuna kitu kinanikera kama mmekaa sitting room anakuja house girl eti "chakula tayari, karibuni chakula"
Wife sasa " sauwaaa dadakeee" Duh hatari kweli
Simamia unachokiamini tengeneza familia yako iwe vile unavotaka akiona hawezi muache aendeKiasili Mwanamke ni mama wa nyumbani tu na msaidizi wa mume kichwa cha familia, kuzaa na kulea ndio jukumu lake la kwanza na la msingi aliloumbiwa. sasa jifanye mwamaume dizaini ya kina Daby kwamba una-akili sana, upendo na kujali sana kuliko Mungu aliyewaumba na kuamua wawe ivyo kwa majukumu hayo ya usaidizi na ulezi tu uje ulie mwenywe.
Kazi na majukumu ya mwanamke 100% yapo nyumbani kwa familia na watoto (malezi).
Ukikutana na mwanamke mwenye mtizamo na misimamo dizaini ya wanaolezewa na akina daby na Harekebishiki wala kufundishika, wewe tumia ukirizika pita kushoto sasa kajifanye una-akili na upendo sana kuliko aliyewaumba ivyo, kisha mfanye mke uone.
HAKUNA kuzoea hapaTaratibu mtazoea. Poleni
Haya vumilieniHa
HAKUNA kuzoea hapa
Iheshimiwe kwa kufuata miiko na misingi yake. Bila hivyo hiyo sio ndoaNdoa na iheshimiwe na watu wote
Yaani mke na mume mumekunja nne kwenye masofa mkikodolea TV halafu mnamsubiri housegirl aivishe awatengee, hii ni noma sana.Hakuna kitu kinanikera kama mmekaa sitting room anakuja house girl eti "chakula tayari, karibuni chakula"
Wife sasa " sauwaaa dadakeee" Duh hatari kweli
Kama dunia imebadilika unategenea mwanamke asibadolike? Kiufupi binafamu amebadilika hata mwanaume wa sasa sio kama wa zamani.
Tegemea mabadiliko zaidi na zaidi na mabango kama haya hayataweza kufanya mambo yarudi kama zamani. Lakini uzuri ni kwamba wanawake/wake ambao wana tabia ambazo unazitaka bado wapo ni kiburi chenu tu wanume kutaka kuoa mnaowaita wasomi halafu mkitegemea wawe na tabia za ambao hawajasoma kabisa.
Sawa, ila ndo hivyo imebadilika na uwezo wa kubadilisha haupo.Kua msomi na mwenye fedha bado hakukufanyi uachane na majukumu yako
Ikiwa wewe n mke hata iwaje bado utatakiwa kusimama kama MKE!
Yeah,sureIheshimiwe kwa kufuata miiko na misingi yake. Bila hivyo hiyo sio ndoa
poa mkuu beyond the infinityMkuu tunafanana sana mitizamo juu ya maisha ya ndoa na majukumu yake.
Ukiweka huo uzi nami nitag
Anaoelekewa na akioga na show yake mbofu mbofu [emoji23][emoji23] na anataka aheshimiweWaambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi [emoji23][emoji23]
Mtu chakula kipo mezani eti mpaka apakuliwe kwenye sahani jamani huo si utumwa kabisa ndugu zangu?Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Utumwa +ujinga mkubwa.Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Sasa huo mchepuko auoe aone kama hayo yataendeleaHizo ni chachu ya kuongeza mapenzi kwa style hiyo Wanaume Zenu wataendelea kutafuta michepuko Mwanamke lazima uwe unajiongeza kwa mume wako
Hao hao wa Tanga ndoa zao zina washinda, watoka bara ndiyo wanazimudu ndoa zao kwa taarifa yako.Ndio mapenzi yalivyo bibie kea jinsi unavyobehave Muombe Mungu mume wako asipate mchepuko wa kitanga au pwani utasaga meno Sana
Wanaume wanafanyiwa yote hayo, lakini shukrani yao ni usaliti tu, wanawake wanafanya mazuri sana kwa waume zao sema wengi wenu hamna shukraniVitu alivyokuwa ananifanyia huyo manzi nilibwata tosha ngoja nikuulize ni mwanamke gani wa sasa hivi Unaweza kumpata akawa anakufulia nguo Tena bila hata kumwambia? Au akawa akusumbui hata pale unapomwitaji kwenye sex? Ni manzi yupi anaweza kuomba ruhusa kazini kwake kusudi akuhudumie wewe unapomwa Sana? Kea hivyo vitu kuna haja ya kupewa limbwata kweli?
Mama wa nyumbani ili umsimange vizuri, maana akiomba hata elfu 2 ampe dada yake utasikia sijaoa ukoo mie sina pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora kuoa mama wa nyumbani ujue moja
Yaani utegemee nitimize majukumu yangu halafu wewe majukumu yako usitimize kisa uko busy na kazi
Mamaae ataelewa show
Na wewe umekubali kabisa kuwa tegemezi?