Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ukweli wa kutufanya ma housegirl, yeeeeuwiiiii sio poa.Nasema ukweli 😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ukweli wa kutufanya ma housegirl, yeeeeuwiiiii sio poa.Nasema ukweli 😅😅😅😅
Jukumu? Kupelekea mume maji bafuni ni Jukumu la mke? Before alikuwa anapelekewa na Nani?.Kwako ni ya kipuuzi, kwa wenzio ni jukumu la kawaida.
Hizo circumstance zipo pia kwa wanawake.Inategemea na circumstance
Ni jukumu la MKE anayejua majukumu yake na anayejua kuwa ni Msaidizi kwa Mumewe.Jukumu? Kupelekea mume maji bafuni ni Jukumu la mke? Before alikuwa anapelekewa na Nani?.
Jukumu la mke kuzaa tu kitu ambacho mume hakiwezi, vingine vyote ni vya wote
Yaani leo hii Mwanamke kufanya majukumu yake kwa Mumewe ni Uhouse girl?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukweli wa kutufanya ma housegirl, yeeeeuwiiiii sio poa.
Suala sio kuprovide kwa Mke na familia, kuna Wanaume wanaprovide kidogo sana au hawaprovide kabisa lakini still Wake zao wanawajali, na wanawatii waume zaoYani baadhi ya wanaume wanavyovimba kwny huu uzi utadhani wana'provide kila kitu huko majumbani
Mtu anadhani watu wakishakula yatosha...tunashukuru ila that's the bare minimum/basic need
Na wewe umekubali kabisa kuwa tegemezi?Yani baadhi ya wanaume wanavyovimba kwny huu uzi utadhani wana'provide kila kitu huko majumbani
Mtu anadhani watu wakishakula yatosha...tunashukuru ila that's the bare minimum/basic need
Kiasili Mwanamke ni mama wa nyumbani tu na msaidizi wa mume kichwa cha familia, kuzaa na kulea ndio jukumu lake la kwanza na la msingi aliloumbiwa. sasa jifanye mwamaume dizaini ya kina Daby kwamba una-akili sana, upendo na kujali sana kuliko Mungu aliyewaumba na kuamua wawe ivyo kwa majukumu hayo ya usaidizi na ulezi tu uje ulie mwenywe.Salam ndugu zangu: Uvivu au uzembe katika kutimiza wajibu kwenye majukumu ya kifamilia kwa kutumia mwavuli wa usomi, kazi za ma~ofisini na pengine dunia ya leo kwamba ipo tofauti na zamani ni tabia ya kukemewa vikali maramoja pindi inapo onekana. Kwasababu zifuatazo
anaume na mwanamke kwenye familia bado ni yale yale hata kama dunia imebadilika kwasababu ya utenda wazi.
Lakini wanawake kwenye hizo ndoa za wababe huwa wanaumia na kuvumilia mengi. Ni kwa sababu hawana mahali pa kwenda.Hii namba moja saikolojia yao inagoma,wanaume mademocratic wengi wanateswa na wanawake wao,labda tu upate mwanamke matured na sio hawa wanaoshinda kwenye tamthilia.
Dharau ni inborn character,mtu anaiga kwa mama yake anachomfanyia baba yake brain zao zinacopy na kuzipaste kwenye ndoa.
Wanaume madikteta,wababe ndio zao udumu.
Mkuu tunafanana sana mitizamo juu ya maisha ya ndoa na majukumu yake.Siwezi kukusahau mkuu
Kama dunia imebadilika unategenea mwanamke asibadolike? Kiufupi binafamu amebadilika hata mwanaume wa sasa sio kama wa zamani.Sitetei mfumo dume ila majukumu ya mwanaume na mwanamke kwenye familia bado ni yale yale hata kama dunia imebadilika kwasababu ya utenda wazi.
Wao ndio chanzo cha maumivu yao.Lakini wanawake kwenye hizo ndoa za wababe huwa wanaumia na kuvumilia mengi. Ni kwa sababu hawana mahali pa kwenda.
Hakuna kitu kinanikera kama mmekaa sitting room anakuja house girl eti "chakula tayari, karibuni chakula"Kama dunia imebadilika unategenea mwanamke asibadolike? Kiufupi binafamu amebadilika hata mwanaume wa sasa sio kama wa zamani.
Tegemea babadiliko zaidi na zaidi na mabango kama haya hayataweza kufanya mambo yarudi kama zamani. Lakini uzuri ni kwamba wanawake/wake ambao wana tabia ambazo unazitaka bado wapo ni kiburi chenu tu wanume kutaka kuoa mnaowaita wasomi halafu mkitegemea wawe na tabia za ambao hawajasoma kabisa.